JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Siasa

ZIARA YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ILEMELA NA NYAMAGANA. MKOANI MWANZA

 Baadhi ya watumishi wa  Halmashauri ya wilaya ya Ilemela na Nyamagana wakimsikiliza Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa  wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza  Sehemu ya watumishi wa  Halmashauri ya wilaya ya Ilemela na Nyamagana wakimsikiliza Waziri  Mkuu, Kassim…

DAWASA NA DAWASCO ZATAKIWA KUPELEKA HUDUMA ZA MAJI PEMBEZONI MWA JIJI LA DAR

Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Juma Aweso (wa pili toka kulia) akiwa na katibu tawala wa Wilaya ya Temeke, Edward Mpogolo wakati wakipatiwa maelezo machache juu ya uharibifu wa miundo mbinu ya maji inayofanywa na wananchi wasio waaminifu wakati wa…

UCHUNGUZI WAANZA KUBAINI WALIOMUUA KWA RISASI MWANAFUNZI CHUO CHA USAFIRISHAJI

*Wizara ya Mambo ya Ndani yaelezea kinachoendelea *Rais Magufuli aagiza waliohusika wachukuliwe hatua    WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi, imewahakikishia Watanzania kuwa uchunguzi wa kifo cha mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji Aqwilina Akwiline aliyeuawa kwa kupigwa…

WAZIRI JAFO ATEMBELEA JIMBONI KWAKE AJIONEA KERO ZINAZOWAKABILI WAPIGA KURA WAKE

Waziri wa nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Seleman Jafo akizungumza na baadhi ya walimu wa shule ya sekondari Makulunge iliyopo kata ya kiluvuya katika halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe,Mkoa wa Pwani alipofanya ziara yake ya kikazi kwa ajili ya kutembelea…

MBOWE ASAKWA NA JESHI LA POLISI KWA KUWAZUIA POLISI KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO NA KUSABABISHA KIFO CHA MWANAFUNZI WA NIT

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa amesema kuwa, wanawashikilia askari 6 ambao wametumia silaha za moto katika uchaguzi huu mdogo wa Kinondoni. Aidha, Mambosasa amesema kwamba, CHADEMA waliwazuia Polisi kutekeleza wajibu wao ndio sababu nguvu…

KUFUATIA KIFO CHA MWANAFUNZI WA NIT, RAIS MAGUFULI ATOA AGIZO

Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ametuma salamu za pole kwa familia ya Akwilina Akwilini aliyeuawa baada ya kupigwa na risasi katika maandamano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Februari 16, 2017 eneo la Kinondoni…