JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Siasa

DK. KIGWANGALLA AAGIZA JUMUIYA YA HIFADHI YA WANYAMAPORI WAMIMBIKI IPANDISHWE HADHI KUWA PORI LA AKIBA

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akizungumza na uongozi wa Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori Wamimbiki wakati wa ziara yake ya siku moja ya kutatua migogoro ya hifadhi katika wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani Jana. Kushoto ni Mkuu…

ZITTO KABWE AWAPA NEEMA WANANCHI WA TOMONDO, MKOANI MOROGORO

Kiongozi waChama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akiwa katika darasa la Shule ya Msingi Vuleni iliyoko Kata ya Tomondo jimbo la Morogoro Kusini alipotembelea shule hiyo jana, kuangalia miradi inayosimamiwa na diwani wa Chama hicho, ambako kiongozi huyo aliahidi kutoa…

DONALD TRUMP: WALIMU WARUSIWE KWENDA NA BUNDUKI MASHULENI

Rais wa Marekani Donald Trump amesema kwamba kuwapatia walimu silaha kunaweza kuzuia mashambulio ya risasi katika shule kama lile lililowaua watu 17 wiki iliopita mjini Florida. ”Mwalimu mwenye bunduki anaweza kukabiliana na washambuliaji mara moja”, alisema. Bwana Trump alitoa pendekezo…

TCD: TUNATAKA KUMWONA RAIS MAGUFULI ATUSAIDIE KUPATA KATIBA MPYA

Kongamano la viongozi wa siasa na viongozi wa dini lilikoandaliwa na Kituo cha Demokrasia (TCD), limemalizika leo jijini Dar es salaam, huku wajumbe wakipanga kwenda kumwona Rais John Magufuli wakiwa na pendekezo la kukamilishwa kwa mchakato wa Katiba. Akisoma mapendekezo…

JAJI MKUU : MAHAKIMU SIMAMIENI MABARAZA YA KATA

Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamis Juma akisalimiana na watumishi wa Mahakama ya wilaya ya Nzega alipowasili kukagua shughuli za Mahakama. Jaji Mkuu ameanza ziara ya kikazi katika mkoa wa Tabora na Kigoma ambayo ni Kanda ya Tabora Jajki…

Serikali ichunguze e-passport

Wiki mbili zilizopita tumechapisha habari za uchunguzi juu ya mradi wa e-passport. Tumeeleza katika habari hizo kuwa kuna ufisadi unaokadriwa kufikia Sh bilioni 90, fedha ambazo waliokabidhiwa jukumu la kutafuta mzabuni kama wangetenda kwa masilahi ya taifa basi zingeokolewa. Katika…