JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Siasa

CHADEMA YAZIDI KUTEKETEA, MADIWANI WAKE WAWILI WAJIUNGA CCM

Madiwani wawili kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiwa na makada 20 wa Vyama vya Upinzani wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera wamekabidhi kadi zao kwa Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kyerwa na kuamua kuhamia ndani ya chama hicho. Madiwani hao waliohama…

SYRIA WAPUMZIKA KUPIGANA KWA MUDA, KUWAPA KUOKOA ROHO ZA RAIA

Rais wa Urusi Vladmir Putin ameagiza usitishwaji wa mapigano kwa takriban saa tano katika mashambulizi yanayofanywa na serikali ya Syria katika maeneo ya mashariki mwa eneo la Ghouta linalodhibitiwa na waasi. Usitishwaji huo wa mapigano unaanza leo Jumanne na utajumuisha…

MAWAKILI WAMKATIA SUGU RUFAA, WAPINGA MTEJA WAO KWENDA JELA

Upande wa Utetezi katika kesi iliyokuwa ikimkabili Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joseph Mbilinyi “Sugu” na Katibu wa Kanda ya Nyasa, Emmanuel Msonga umekata rufaa kupinga hukumu ya kwenda jela…

HUKUMU YA SUGU, TUNDU LISSU ATEMA CHECHE

Waheshimiwa wangu salaam kutoka Ubelgiji. Nawapeni pole nyingi kwa yaliyomkuta Mh. Sugu na Goddie Masonga siku ya leo(Jana). . Naomba kuzungumzia suala hili kwa kirefu kidogo. . Kwanza, hukumu ya leo sio mwisho wa mjadala mahakamani. Bado kuna fursa, nay…

WANA MBEYA KUPOKEA HUKUMU YA MBUNGE WAO SUGU LEO

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya, leo inatarajia kusoma hukumu ya kesi ya kutumia lugha ya fedeha dhidi ya Rais Dkt John Pombe Magufuli, inayowakabili Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi pamoja na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu…

KAKOBE AICHAMBUA RIPORT YA TRA , NA KUSEMA HAYA

Askofu wa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Askofu Zachary Kakobe ameeleza kuwa taarifa za kanisa hilo kukwepa kodi zilizotolewa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), hazina ukweli na kuwataka waumini wake kutokubaliana nazo. Askofu kakobe ailyaeleza hayo jana…