Category: Siasa
SERIKALI YATAFUTA CHANZO CHA KUUWAWA MWANAFUNZI WA TANZANIA NCHINI AFRIKA KUSINIawa Kikatili Afrika Kusini
Mwanafunzi wa Tanzania aliyekuwa akisoma nchini Afrika Kusini ameuwawa kikatili Ijumaa nchini humo. Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mindi Kasiga amesema wizara inafanya mawasilianao na ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini ili kubaini…
Baraza la Maaskofu Katoliki lakomaa na mchakato wa Katiba Mpya
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), limesema ili amani iendelee kuwepo majadiliano ndio nyenzo kuu itakayosaidia kuhuisha mchakato wa Katiba Mpya. Pia limeitaka Serikali kuweka nia ya dhati na kutii kiu ya Watanzania iwapo wengi wao watahitaji mchakato wa Katiba…
JUKWAA LA WANAWAKE TANESCO LACHANGIA DAMU HOSPITALI YA TUMBI KIBAHA
Mwenyekiti wa Jukwaa la wanawake Tanesco , Rukia Wandwi akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kukamilika kwa zoezi la uchangiaji Damu kwa Wafanyakazi wa Shirika la Umeme Tanesco lilipoamua kujitolea kutoa Damu kwa jili ya Hospitali ya…
IDDI AFANIKISHA HARAMBEE YA UJENZI WA MADARASA KANISA LA AIC KALANGALALA
Mjumbe wa halmashauri kuu ya Taifa ya chama cha mapinduzi(CCM) Mkoani Geita Iddi Kassim Iddi,akiendesha Harambee ya umaliziaji wa ujenzi wa madarasa kwenye kanisa la AIC Kalangalala. Mjumbe wa halmashauri kuu ya Taifa ya chama cha mapinduzi(CCM) Mkoani Geita Iddi…
MSIUZE UFUTA WENU MASHAMBANI PELEKENI MINADANI-MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wakulima wa ufuta katika mikoa inayolima zao hilo nchini kuuza kwa kutumia njia ya minada na si mashambani. Ametoa agizo hilo leo (Jumamosi, Machi 03, 2018) wakati akizungumza kwa nyakati tofauti na wananchi wa…
WAZIRI MKUU AKAGUA MRADI WA USAMBAZAJI MAJI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua mradi wa usambazaji wa maji kwenye vijiji vinavyopitiwa na mradi wa maji Mbwinji na ameridhishwa na unavyoendelea. Mradi huo unaosimamiwa na Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Masasi-Nachingwea (MANAWASA) unatarajiwa kukamilika Machi 31,…