JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Siasa

Zitto : Wasimamizi wa uchaguzi Kigoma msikubali kulaghaiwa kugeuza matokeo

Kiongozi Mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amewataka wasimamizi wa uchaguzi kutoingizwa kwenye mtego wa kuwatangaza washindi wagombea wa CCM hata kama watashindwa katika sanduku la kura la uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika siku ya Jumatano Novemba…

Zitto awataka Kigoma kupiga kura ya hapana pale CCM wanapobaki pekee

Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amewataka wananchi kupiga kura za hapana katika mitaa ambayo wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamebakizwa pekee baada ya vyama vya upinzani kuenguliwa. Zitto ametoa wito huo siku ya Jumanne Novemba…

Himahima tujitokeze kwa wingi kupiga kura – Kapinga

📌 Afunga kwa kishindo Kampeni za CCM Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mbinga 📌 Asema CCM ni tumaini la Watanzania; Ipate kura za Ndiyo 📌 Akumbusha kuwa miradi ya maendeleo iliyopo ni kielelezo cha viongozi makini wa CCM Mbunge wa…

Jussa :ACT yajipanga kulinda kura na kuleta maendeleo Tanga

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa, amewaomba wananchi wa Mtaa wa Komesho, Kata ya Msambweni, Jimbo la Tanga Mjini na vijiji vya jirani kuwaamini wagombea wa chama hicho kwa kuwapigia kura katika uchaguzi…

Malala : Wagombea CCM wameandaliwa kilamilifu

KATIBU wa Halmashauri Kuu(NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi,Siasa na Mafunzo CPA Amoss Makala amewahakikishia Watanzania kuwa wagombea wanaotokana na Chama hicho katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni wagombea wenye sifa na wako tayari kushiriki kikamilifu katika…