Category: Siasa
Rais Mstaafu JK akifinya Ugali msibani
Pita pita yangu nikajikuta nimetokea kwenye page ya twitter ya Rais wetu Mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete akiandika post na kuweka picha za yeye na wazee wakila ugali kwenye sahani moja na bakuli moja la mboga. Mimi…
SIKU YA WANAWAKE DUNIANI ILIVYOADHIMISHWA MKOANI TABORA
Mke wa Rais Mstaafu Mama Salma Kikwete akimpongeza Mbunge wa Vitimaalum mkoa wa Tabora Munde Tambwe baada ya kupokea kiasi cha shilingi milioni moja kwaajili ya TIKA huku Mbunge huyo Munde Tambwe akiahidi mbele Mama Salma Kikwete kuchangia jumla ya…
Wakurugenzi wasiotenga fedha za mikopo kwa wanawake kufikia June kutumbuliwa.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu ametoa miezi mitatu kwa wakurugenzi wote nchini kuhakikisha wanatenga asilimia 4 za fedha za halmashauri kwaajili ya kuwapa wanawake mikopo ili waweze kujikwamua kiuchumi na kuunga…
HDIF YAWAWEZESHA WANAWAKE TANZANIA KATIKA NYANJA YA UBUNIFU
Naibu Kiongozi Mfuko wa ubunifu wa Maendeleo ya watu kutoka nchini Uingereza (HDIF), Joseph Manirakiza akizungumza juu ya kongamano hilo ili kutoa fursa kwa watu kujifunza namna wanawake wamefanikiwa katika masuala ya ubunifu na kuleta maendeleo katika jamii inayoiwazunguka. Naibu Katibu…
NIDA KUZINDUA USAJILI WA VITAMBULISHO VYA TAIFA KIGOMA, RUKWA NA KATAVI
Kaimu Ofisa Uhusiano Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) Rose Joseph akielezea mikakati ya kuzindua usajili wa vitambulisho Kigoma, Rukwa na Katavi sambamba na ndani ya mgodi wa Tanzanite. MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA) inatarajia kuzindua usajili na utoaji wa …
PIGO TENA KWA ACT-WAZALENDO, DIWANI MWINGINE AAMIA CCM
Aliyekuwa Diwani wa kata ya Gihandu Wilayani Hanang, Mkoani Manyara kwa tiketi ya ACT Wazalendo Mathayo Samuhenda amejiuzulu udiwani wa kata hiyo na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Diwani huyo ameachia kiti hiko cha udiwani wakati akifanya mkutano wa…