Category: Siasa
PICHA MBALIMBALI MEYA WA DAR ES SALAAM ALIVYOMTEMBELEA WAZIRI MSTAAFU LOWASSA
Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam , Isaya Mwita jana alimtembelea ofisini kwakwe na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Edward Lowassa ,ambapo wamejadiliana mambo mbalimbali…
NAIBU WAZIRI MAVUNDE AHAMISHIA OPERESHENI YA KUWABAINI WAAJIRI WANAOKIUKA SHERIA ZA KAZI MKOANI MOROGORO
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Antony Mavunde, akizungumza na wafanyakazi wa kiwanda cha Tumbaku Alliance One Mkoani Morogopro leo Machi 9, 2018. Mhe. Mavunde ameagiza waajiri 242 Mkoani Morogoro ambao hawajajisajili na Mfuko…
WAUZA FIGO WAPIGWA MARUFUKU
CHAMA cha Madaktari Bingwa wa magonjwa ya figo Tanzania kimepiga marufuku biashara ya uuzaji figo nchini na kueleza kuwa huo si utaratibu mzuri kwa madhara yake ni makubwa. Pia kimeelezea hali ya ugonjwa wa figo nchini na kwamba kwa mwaka…
Magufuli Awanyooshea Kidole Wanaotaka Kuandamana
Rais Dkt John Magufuli amewaonya vikali watu wanaopanga kufanya maandamano nchini humo akisema kwamba hawataruhusiwa. “Wapo watu wangependa nchi hii kila siku tuwe na migogoro,” amesema Dkt Magufuli. “Wapo watu ambao wameshindwa kufanya siasa za kweli, wangependa kila siku tuko…
MSIKIE PAUL MAKONDA ALICHOKISEMA JUU YA MWANAFUNZI WA UDSM KUDAI AMETEKWA
https://youtu.be/xiwSZP2Ti3k
Mwanafunzi wa UDSM ‘aliyetoweka’ Awekwa Chini ya Polisi Ili Kubaini Ukweli
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu (TSNP) na mwanafunzi wa Chuo Kikuu Dar es Salaam, Abdul Nondo ambaye alikuwa ameripotiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha, usiku wa kuamkia jana aliripotiwa kupatikana mkoani Iringa. Kamanda wa Polisi mkoani Iringa,…