Category: Siasa
MPANGO WA PAMOJA WA TANZANIA NA CHINA KATIKA KUONGEZA UZALISHAJI WA TIJA WA ZAO LA MAHINDI MKOANI MOROGORO WAZINDULIWA
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha China Profesa Sun Qixin, akimuonyesha Balozi wa China hapa nchini Wang Ke, moja ya picha katika Kituo cha Mafunzo cha kupunguza Umasikini kijijini, katika Kijiji cha Mtego wa Simba, Mikese mkoani Morogoro, wakati…
Mama Anna Makinda awafunda madiwani uongozi wa kijinsia
SPIKA wa Bunge la Jamhuri wa Tanzania mstaafu, Mama Anna Makinda ametoa elimu wa uongozi wa Kijinsia kwa madiwani wanawake wa Mkoa wa Dar es Salaam katika warsha ya siku moja iliyoandaliwa na TGNP Mtandao ikiwa na lengo la kuwajengea…
SERIKALI YA UINGEREZA YAFUATA NYAYO ZA JPM KATIKA MUSTAKABALI WA PASIPOTI ZA KIELETRONIKI
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Aliance News imesema kuwa kampuni ya De La Rue ilikuwa na mkataba na Uigereza wa miaka 10 lakini nchi hiyo imeamua kuvunja mkataba kati yake na kampuni hiyo. Imefahamika lengo la Serikali…
HABARI NAOMBA MPOKEE PICHA NA STORI YA MSTHIKI MEYA WA JIJI
Meya Mwita azitaka halmshauri za jiji la Dar es Salaam, kuajiri watumishi kwa ajili ya kuzika watu wasiokuwa na ndugu. MSTAHIKI Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita amezitaka halmashauri zote jijini hapa kuajiri watumishi ambao watakuwa wanafanya…
Rais Magufuli Avunja Atengua Uteuzi wa Mwenyekiti wa NHC na Kuvunja Bodi ya NHC
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (National Housing Corporation – NHC) Bi. Blandina Nyoni kuanzia leo tarehe 21 Machi, 2018….
VIONGOZI WA MTANDAO WA WANFUNZI TANZANIA WAELEZE TAARIFA YA UCHUNGUZI WA ABDUL NONDO
Viongozi wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP) waelezea taarifa iliyotolea na Kamanda wa Mkoa wa Dar es Salaam juu ya Kujiteka mwenyewe Abdul Nondo na piwa watatakiwa kuonana na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI).