Category: Siasa
NIDA KUZINDUA USAJILI WA VITAMBULISHO VYA TAIFA KIGOMA, RUKWA NA KATAVI
Kaimu Ofisa Uhusiano Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) Rose Joseph akielezea mikakati ya kuzindua usajili wa vitambulisho Kigoma, Rukwa na Katavi sambamba na ndani ya mgodi wa Tanzanite. MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA) inatarajia kuzindua usajili na utoaji wa …
PIGO TENA KWA ACT-WAZALENDO, DIWANI MWINGINE AAMIA CCM
Aliyekuwa Diwani wa kata ya Gihandu Wilayani Hanang, Mkoani Manyara kwa tiketi ya ACT Wazalendo Mathayo Samuhenda amejiuzulu udiwani wa kata hiyo na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Diwani huyo ameachia kiti hiko cha udiwani wakati akifanya mkutano wa…
WAFANYA BIASHARA WA SOKO LA MBAGALA WATOA VILIO KUUNGUA KWA SOKO LAO
Soko la Kampochea lililopo Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam limeteketea kwa moto alfajiri ya leo Jumanne Machi 6, 2018 na kusababisha hasara kwa wafanyabiashara wa eneo hilo. Imeelezwa moto huo ulianza kuteketeza mabanda ya soko hilo saa 12…
WANANCHI WA PUGU WA MPONGEZA MEYA MWITA KWA KUWAPATIA MAJI SAFI NA SALAMA
Wananchi wa Pugu wa mpongeza Meya Mwita kwa kuwapatia maji safi na salama. WANANCHI wa Kata ya Pugu, Mtaa wa Mustafa, wamempongeza Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita kwa kuwapelekea maji safi na salama huku wakibainishiwa…
VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE IMEANZA KATI YA TAHLISO NA TSNP
Mwenyekiti wa mtandao wa wanafunzi wa Tanzania (TSNP), Abdul Nondo, akiongea na waandishi wa habari leo. Ndugu waandishi wa habari, leo tunapenda kutoa ufafanuzi kidogo juu ya tuhuma zilizotolewa na TAHLISO dhidi ya TSNP mnamo tarehe 3/3/2028. Taasisi yetu ni…
MAGAZETI MATATU LIKIWEMO LA TANZANITE YAPEWA ONYO KALI NA SERIKALI
Serikali kupitia kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO imetoa onyo kwa magazeti matatu nchini kutokana na kile ilichoeleza kuwa ni kukiukwa kwa maadili ya uandishi wa habari. Hayo yalisemwa jana na Dkt Hassan Abbas ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa…