JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Siasa

Pazia la watia nia ACT Wazalendo lafunguliwa

Chama cha ACT Wazalendo kinapenda kuutangazia umma kuwa mchakato wa ndani ya Chama wa wanachama kujitokeza na kutangaza nia ya kugombea nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi mkuu 2025 umefunguliwa rasmi kuanzia tarehe 15 Januari, 2025. Hatua hii ni utekelezaji wa agizo…

Dorothy Semu kugombea urais kupitia ACT- Wazalendo

Na Mwandisi Wetu, JamhuriMediaa, Dar es Salaam Kiongozi wa Chama cha ACT –Wazalendo, Dorothy Semu ametangaza nia ya kugombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama katika uchaguzi utakaofanyika mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari…

Lema, Msigwa walitaka kumpindua Mbowe – Wenje

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Victoria ambaye pia ni mgombea wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Ezekia Wenje amezungumza na wanahabari mapema leo Januari 16, 2025 jijini…

Wenje: Dk Silaa alitaka CHADEMA ifutwe

Na Isri Mohamed, JammhuriMedia, Dar es Salaam Mgombea wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Ezekia Wenje ameonesha kusikitishwa na kauli zilizotolewa na Godbless Lema akimtaka Lissu kumteua Dkt Silaa kuwa mjumbe wa kamati kuu wa Chadema, mara tu atakaposhinda…

CCM yataja sababu nne zilizofanya washinde kwa kishindo Serikali za Mitaa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) kimetoa sababu nne ambazo zimefanya Watanzania kuendelea kukiamini na kuchagua wagombea wa Chama hicho katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa na miongoni mwasababu ambazo zimefanya washindi ni uwepo wa migogoro…