Category: Siasa
Waziri January Makamba Atoa Ushauri kwa wasanii na vijana maarufu
Ujumbe huu umeandikwa leo na Waziri January Makamba katika ukurasa wake wa Twitter ikiwa ni ushauri kwa wasanii na vijana maarufu. Ushauri huu umechukuliwa na wengi wa watumiaji wa mitandao ya Twitter na Instagram kama muhimu kwa wasanii hasa baada…
Vipaumbele vya Fatma Karume kama Rais wa TLS
Rais mpya wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Fatma Karume ametaja mambo matano ambayo atayafanyia kasi baada ya kuchaguliwa kuongoza chama hicho, Jumamosi mjini Arusha. Fatma Karume ambaye ni binti wa Rais Mstaafu wa Zanzibar amesema kuwa, ataendeleza yale yaliyofanywa…
Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar, Amina Ally Awashauri Wafanyabiashara
Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar, Amina Ally amewashauri wafanyabiashara wa Zanzibar kuwa wabunifu katika biashara zao ili kuongeza thamani ya biashara zao jambo litakalosaidia kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja na Zanzibar kwa ujumla. Waziri Amina aliyasema hayo…
Mzee Jakaya Kikwete Akiwa Mlimani City Pamoja na Wajukuu Zake
Jana Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete alitembezwa na wajukuu zake kwenye maduka ya kununulia vifaa vya kuchezea watoto katika madukaa ya Mlimani City lililopo jijini Dar es Salaam “Leo ilikuwa zamu ya wajukuu zangu kunitembeza babu yao na safari yetu iliishia…
ESTER BULAYA ASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI DAR
Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, inamshikilia Mbunge wa Bunda, Esther Bulaya baada ya kuripoti katika kituo kikuu cha Polisi na viongozi wenzake wa CHADEMA, kama walivyoamriwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Tahadhari kwa Mikoa Hii Itakumbwa na Mvua Kubwa
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imewataka wananchi kuchukua tahadhari juu ya uwepo kwa vipindi vya mvua kubwa katika maeneo yote ya pwani kuanzia leo usiku mpaka Aprili 16, mwaka huu. Mikoa iliyotajwa kuwa na vipindi vya mvua kubwa…