Category: Siasa
UKAGUZI BANDARINI HAULENGI KUWABAGUA WAZANZIBARI – WAZIRI MKUU
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ukaguzi unaofanywa kwenye bandari ya Dar es Salaam kwa wasafiri wanaokwenda Zanzibar, hauna lengo la kuwabagua bali ni kuimarisha ulinzi wa mipaka ya nchi. “Hatulengi kuzuia biashara za wafanyabiashara ndogondogo, bali tunaimarisha ukaguzi ili…
Waziri Palamagamba Kabudi Akosoa kampeni ya RC Makonda kuwasaidia wanawake
Waziri wa Katiba na Sheria, Prof Palamagamba Kabudi amekosoa utaratibu uliotumiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda katika kushughulikia tatizo la wanawake wanaodai kutelekezwa na wazazi wenzao. Waziri Kabudi ameyasema hayo jana bungeni baada ya Mbunge…
WAZIRI MWAKYEMBE: TATUENI KERO ZA WADAU KWA HARAKA NA UFANISI
Mjumbe wa Baraza la Wafanyakazi Bw. Makoye Alex Nkenyenge akitoa neno la shukrani kwa mgeni rasmi (Hayupo katika picha) wakati wa ufunguzi wa kikao cha13 cha Baraza la Wafanyakazi kilichofanyika leo Mkoani Dodoma katika Ukumbi wa Ofisi za Waziri Mkuu…
TASAF YAKUTANA NA WADAU WA MAENDELEO KUJADILI UTEKELEZAJI MPANGO KUNUSURU KAYA MASKINI-PSSN.
Mkurugenzi wa Miradi wa TASAF, Amadeus Kamagenge(aliyesisima) akizungumza katika ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Maendeleo na Serikali ulioanza leo mjini Dar es salaam . Kiongozi wa Shughuli za TASAF katika Benki ya Dunia Mohamed Muderis (aliyesimama) akitoa maelezo kwenye…
MPINA AWATAKA WAWEKEZAJI WA VIWANDA VYA PUNDA KUONGEZA BEI
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina(mwenye miwani) akikagua kiwanda cha kuchinja Punda cha Hua Cheng Limited kilichopo nje kidogo ya mji wa Dodoma alichokifungua hivi karibuni leo. (Picha na Jumanne Mnyau) Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina(mwenye miwani)…