Category: Siasa
Twende tuwekeze Sudan Kusini – Jenerali Kisamba
*Saruji, ngano, vifaa vya ujenzi, alizeti vinahitajika *Asema majirani zetu wameshaanza kunufaika mno Ushauri umetolewa kwa Tanzania na Watanzania kuamka na kuchangamkia fursa za uwekezaji na biashara zilizojitokeza katika taifa jipya la Sudani Kusini. Ushauri huo umetolewa na…
Kashfa uporaji ardhi kubwa Pinda ahusishwa
*Mmoja wa washirika ajitoa kuepuka aibu
*Ni Chuo Kikuu cha Iowa cha Marekani
*Yabainika wanaleta teknolojia hatari nchini
[caption id="attachment_124" align="alignleft" width="160"]Waziri Mkuu Mizengo Pinda[/caption]Waziri Mkuu Mizengo Pinda ameendelea kubanwa kuhusu uamuzi wake wa kuwasaidia Wamarekani kujitwalia ekari laki nane za ardhi kwa miaka 99 mkoani Katavi.
Nyalandu anavyomhujumu Kagasheki
*Adaiwa kula njama wawekezaji wasilipe kodi
*Aendesha kikao bila Kagasheki kuwa na taarifa
*Bodi ya TANAPA yakataa mapendekezo yake
Mgogoro ulioripotiwa na Gazeti hili la JAMHURI wiki iliyopita kati ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Khamis Kagasheni na Naibu wake, Lazaro Nyalandu, sasa umechukua sura mpya.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Nyalandu, ameingia matatani tena baada ya kubainika kuwa anashinikiza Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) lisianze kutoza ‘concession fee’ katika hoteli za kitalii nchini, JAMHURI limebaini.
Uamuzi huo unaikosesha Serikali mapato yanayofikia Sh bilioni 17 kwa mwaka. Jaribio la kwanza la Nyalandu kufanikisha mpango wake liligonga mwamba kwenye kikao chake na menejimenti ya TANAPA, kilichofanyika Juni 8, mwaka huu mjini Moshi.
Pinda akunjua makucha rasmi
Serikali imesema kuanzia sasa watumishi wabadhirifu wa fedha za umma hawatahamishiwa vituo vingine vya kazi, bali watachunguzwa na ikibainika watafukuzwa kazi mara moja.
Katibu Mkuu Nishati amwagiwa sifa
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi, amemwagiwa sifa kwa jinsi alivyowabana watendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na kufanikisha upatikanaji wa mita 85,000 za umeme.
Habari mpya
- Rais Samia afuturisha watoto yatima na wenye mahitaji maalum Ikulu Dar
- Soma Gazeti la Jamhuri Machi 4- 10, 2025
- Sheria kuitambua maabara Tume ya Madini
- Tanzania yavunja rekodi ongezeko la wanyamapori
- Airpay yakabidhi Vishkwambi zitakavyotumiwa na ZEEA katika usajili, uombaji mikopo kidijitali
- Mchezaji wa gofu wa klabu ya Gymkhana aibuka bingwa michuano ya Lina PG Tour
- Makamu wa Rais afungua kongamano la wanawake Kanda ya Magharibi
- Uingereza yatangaza ‘muungano’ wa kushirikiana na Ukraine kumaliza vita na kuilinda
- Trump akifanya Kiingereza kuwa lugha rasmi ya Marekani
- Ripoti maalum kuhusu mwenendo wa mahusiano ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Uhispania
- Papa Francis atoa wito wa amani na kusuluhishwa kwa mizozo
- Viongozi wa Ulaya wakubaliana kuhusu amani ya Ukraine
- Nayikole wafurahia miradi ya maendeleo
- Aliyekuwa Mkuu wa Kitivo cha Tiba Butare ashtakiwa Paris kwa mauaji ya kimbari Rwanda
- Waliyopambania wanawake wenzetu matunda tunayaona Mbuja