Category: Siasa
Kinana aanza ziara ya kikazi Kagera
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Abdulrahman Kinana ameelezea kutoridhishwa kwake na kasi ya ujenzi wa barabara inayounganisha mikoa ya Kigoma na Kagera. Akizungumza mjini Biharamulo mara baada ya kuwasili kuanza ziara ya siku mbili mkoani Kagera akitokea Kigoma Kinana amesema…
CCM haitamvumilia mwana-CCM anayewania uongozi kwa kutumia ukabila
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amesema Chama hakitamvumilia mwanachama yeyote ambaye anataka kuwania nafasi ya uongozi kwa kutumia udini, ukabila na ukanda. Amesisitiza Chama kinawatafuta watu wa namna hiyo na endapo kitaelezwa…
Kinana atua Kigoma kwa ziara ya kuimarisha chama
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Ndugu Abdulrahman Omari Kinana amewasili leo Alhamisi tarehe 01 Septemba, 2022 mkoani Kigoma kwa ziara ya siku moja mkoani humo ya kukagua uhai wa chama, utekelezaji wa ilani pamoja na kusikiliza…
Wabunge wakumbushwa kutekeleza kwa wakati ahadi zao
Na Is-Haka Omar,JamhuriMedia,Pemba NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dk.Abdulla Juma Mabodi, amewataka Wabunge, Wawakilishi na Madiwani kutekeleza kwa wakati ahadi walizotoa kwa wananchi katika kampeni za uchaguzi uliopita. Wito huo ameutoa katika ziara yake ya kuimarisha Chama Cha…
Mrema alikuwa ni mwanasiasa aliyepitia machungu mengi
Na Happiness Katabazi,JamhuriMedia LEO asubuhi Agosti 2, 20221 nimepokea taarifa za kifo cha Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour ( TLP), Augustine Lyatonga Mrema kuwa amefariki katika Hospital ya Taifa ya Muhimbili alikokuwa amelazwa tangu Agosti 16, mwaka huu kwa…
Chongolo ahitimisha ziara kwa kutoa maelekezo 10 Serikalini
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi, (CCM) Ndugu Daniel Chongolo amehitimisha ziara ya siku nne mkoani Kilimanjaro, katika Wilaya ya Same, amehitimisha ziara, ambapo katika ziara hiyo pamoja na kuhamasisha Sensa ya Watu na Makazi, Uhai na uimara wa Chama…