Category: Siasa
Ripoti ya majangili yatoka
*Wamo Polisi, Kada CCM, wafanyabiashara
*Vigogo Polisi Kigoma, Mugumu wahusishwa
Idara ya Ulinzi, Kitengo cha Intelejensia cha Mamlaka ya Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), imetoa ripoti ya ujangili iliyo na majina ya wahusika wakuu na namna wanavyolindwa na vyombo vya dola nchini. JAMHURI imepata ripoti hiyo ya kurasa 30 iliyosainiwa na Mhifadhi wa Intelejensia, Renatus Kusamba.
Balozi za Tanzania aibu tupu
*Baadhi hawajalipwa mishahara miezi sita, zimeajiri Wakenya
*Ufaransa pango Sh milioni 720, wanatumia anwani ya Uganda
*Ofisi zinaporomoka, Kikwete asema Richmond imeiponza nchi
*Membe alia Serikali kukata bajeti yake ikabaki asilimia 44 tu
Sura na heshima ya Tanzania nje ya nchi inashuka kwa kasi kubwa, kutokana na Serikali kuzitelekeza balozi zake nje ya nchi.
Yapo mambo mengi ya aibu yanayowakumba mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nje ya nchi, kwani baadhi ya balozi zinashindwa kulipia huduma ya simu, maji, umeme na baadhi ya magari yanazimika na kuwashwa kwa kusukumwa kama ya uswahilini. Taarifa ya ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama iliyotembelea balozi mbalimbali imeibua uozo wa ajabu.
Majaji maji shingoni
*Maelezo ya Jaji Ramadhani, Luanda moto
*Ripoti ya Ikulu nayo yataka waondolewe
*Lissu ataka wapime, kumshitaki Kikwete
*Amtaka Jaji Kiongozi Fakih Jundu ajiuzulu
Mhimili wa Mahakama umetikisika baada ya kuwapo ushahidi wa wazi kwamba Rais Jakaya Kikwete amevunja Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, kwa kuwaongezea mikataba ya kazi baadhi ya majaji na kumpandisha cheo mwingine.
RIPOTI MAALUMU
Majaji ‘vihiyo’ watajwa
*Yumo aliyeshindwa kuandika hukumu miaka minne
*Wengine wagonjwa, hawajawahi kusikiliza kesi
*Yumo Jaji wa Mahakama ya Rufaa asiye na shahada
*Baada ya kubanwa sasa anasoma Chuo Kikuu Huria
*Wengine walikuwa mahakimu watuhumiwa wa rushwa
Wabunge waunga mkono msimamo wa Morocco
Bunge la Tanzania linaunga mkono msimamo wa Morocco katika kupata ufumbuzi wa mgogoro kati ya taifa hilo na taifa la Sahara Magharibi. Mwaka 1975 uliibuka mgogoro wa ndani kati ya Morocco na taifa la Sahara Magharibi linalotaka kujitangazia Uhuru. Mgogoro huu uliofanya Sahara Magharibi kujenga ukuta kama wa Berlin kule Ujerumani, umekuwa na madhara makubwa ndani ya taifa la Morocco.
Malawi waigwaya kipigo JWTZ
* Taarifa za kiintelejensi za Jeshi letu zawaogopesha
* Ndege za utafiti zaondolewa upande wa Tanzania
* Makamanda wasisitiza kuendelea kuulinda mpaka
* Waingereza walipotosha mpaka
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linaendelea kuimarisha ulinzi katika mpaka wa Tanzania na Malawi, licha ya taifa hilo dogo lililopo kusini mwa Afrika kuonyesha nia ya kutotaka kuingia katika vita, lakini pia gazeti la JAMHURI limebaini chimbuko la historia ya upotoshaji katika mpaka wa nchi hizi.
- Bondia Mandonga atoa shukrani za dhati kwa Rais Samia kuuona mchezo wa ngumi
- Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao yaweka tabasamu mwaka mpya 2025 kwa wenye ulemavu
- Ruto akiri ukiukaji wa polisi katika maandamano
- Makamu wa Rais ashiriki Ibada ya Mwaka Mpya 2025 Dodoma
- EWURA yaukaribisha mwaka mpya kwa kupunguzo ya bei ya mafuta
Habari mpya
- Bondia Mandonga atoa shukrani za dhati kwa Rais Samia kuuona mchezo wa ngumi
- Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao yaweka tabasamu mwaka mpya 2025 kwa wenye ulemavu
- Ruto akiri ukiukaji wa polisi katika maandamano
- Makamu wa Rais ashiriki Ibada ya Mwaka Mpya 2025 Dodoma
- EWURA yaukaribisha mwaka mpya kwa kupunguzo ya bei ya mafuta
- Polisi Songwe yaimarisha ulinzi sikukuu ya mwaka mpya
- Rais Samia : Mwaka 2024 ulikuwa na mafanikio
- Matumizi kuni, mkaa taasisi za umma mwisho Desemba 31, 2024 -Majaliwa
- Waziri Mavunde asimamisha uchimbaji madini kwenye mto Zila kijiji cha Ifumbo wilayani Chunya Mbeya
- Askari 23 wakabiliwa na adhabu ya kifo kwa kuliasi jeshi
- NMB yadhamini Kombe la Mapinduzi 2025
- Waziri awashauri wananchi Jimbo la Jang’ombe kutunza miundombinu ya barabara
- Mwalimu mbaroni kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi
- CAF yatupilia mbali malalamiko ya Guinea dhidi ya Taifa Stars
- Urusi, Ukraine wabadilishana wafungwa wa kivita