JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Siasa

MSIINGIZE SIASA SUALA LA MABONDENI-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wanasiasa wajiepushe na tabia ya kuingiza siasa katika suala la kuwaondoa wananchi waishio mabondeni  kwa kuwa jambo hilo linafanywa kwa maslahi ya wananchi wenyewe.   Amesema wananchi wengi wamekuwa wakipoteza maisha na mali zao kila…

UKAGUZI BANDARINI HAULENGI KUWABAGUA WAZANZIBARI – WAZIRI MKUU

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ukaguzi unaofanywa kwenye bandari ya Dar es Salaam kwa wasafiri wanaokwenda Zanzibar, hauna lengo la kuwabagua bali ni kuimarisha ulinzi wa mipaka ya nchi.   “Hatulengi kuzuia biashara za wafanyabiashara ndogondogo, bali tunaimarisha ukaguzi ili…

Waziri Palamagamba Kabudi Akosoa kampeni ya RC Makonda kuwasaidia wanawake

Waziri wa Katiba na Sheria, Prof Palamagamba Kabudi amekosoa utaratibu uliotumiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda katika kushughulikia tatizo la wanawake wanaodai kutelekezwa na wazazi wenzao. Waziri Kabudi ameyasema hayo jana bungeni baada ya Mbunge…

WAZIRI MWAKYEMBE: TATUENI KERO ZA WADAU KWA HARAKA NA UFANISI

 Mjumbe wa Baraza la Wafanyakazi Bw. Makoye Alex Nkenyenge akitoa neno la shukrani kwa mgeni rasmi (Hayupo katika picha) wakati wa ufunguzi wa kikao cha13 cha  Baraza la Wafanyakazi kilichofanyika leo Mkoani Dodoma katika Ukumbi wa Ofisi za Waziri Mkuu…

TASAF YAKUTANA NA WADAU WA MAENDELEO KUJADILI UTEKELEZAJI MPANGO KUNUSURU KAYA MASKINI-PSSN.

Mkurugenzi wa Miradi wa TASAF, Amadeus Kamagenge(aliyesisima) akizungumza katika ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Maendeleo na Serikali ulioanza leo mjini Dar es salaam .  Kiongozi wa Shughuli za TASAF katika Benki ya Dunia Mohamed Muderis (aliyesimama) akitoa maelezo kwenye…