Category: Siasa
Wiki ya ugeni mzito yawadia Tanzania
Wiki moja au siku saba kati ya Juni 27, 2013 na Julai 4, 2013 Tanzania itapata ugeni mzito unaoweza kubadili historia ya nchi hii. Rais wa Marekani Barrack Obama anatarajiwa kuwa mmoja wa wageni watakaofika hapa nchini, kwa nia ya kuendeleza uhusiano kati ya Tanzania na Marekani.
TRA wanasa makontena 500
*Yadaiwa huo ni mzigo wa Ridhiwani, Home Shopping Centre
*Home Shopping wasema ni fitina za kibiashara, TRA wanena
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imenasa makontena 500 ya wafanyabiashara mbalimbali nchini, ambayo yamechanganya mizigo kwa nia ya kukwepa kodi ndani ya mwezi mmoja uliopita.
RASIMU YA KATIBA MPYA 2013
Kimewaka
*Serikali ya Muungano kuwa na wizara nne
*Makao makuu ya Tanzania kuhamia Dar
* Tanganyika ni Dodoma , Wazanzibari wanalo
Mtuhumiwa Malele anaweza kuishitaki Polisi
. Ni kwa kumtangaza mgonjwa wa akili
Kijana aliyejitangaza kung’atuka ushirika wa mtandao uliohusika kumuua aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow, anaweza kulishitaki jeshi hilo kwa kumtangaza kuwa ni mgonjwa wa akili.
RASIMU YA KATIBA YA TANZANIA 2013
Hofu yatanda Z’bar
*Walio Tanganyika kugeuka wawekezaji
*Wasiwasi watanda, wanunua ardhi Bara
*Wahoji Tume ya Warioba kufuta Takukuru
Mapendekezo ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mpya ya kuondoa suala la ardhi katika mambo ya Muungano, yamezaa hofu kwa Wazanzibari wanaoishi Tanzania Bara na ndugu zao walioko Zanzibar.
….Makundi ya urais yayeyuka
Rasimu ya Katiba Mpya imeyanyong’onyeza makundi ya wanaowania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa muda mrefu kumekuwapo mjadala mkali wa nani anayestahili kuwania kiti hicho, lakini mbio hizo zimepunguzwa kasi na umaarufu wake, baada ya rasimu kupendekeza kuwapo kwa muundo wa Serikali Tatu – Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, na Tanzania Bara (Tanganyika).