Category: Siasa
CCM washauriwa kutopoteza muda kwa malumbano
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amewataka wana CCM kutopoteza muda kwa malumbano na majibizano kwa kuwa kuna kazi muhimu mbele yao ya kujenga Chama na nchi. Amesema Rais Samia Suluhu Hassan…
Rais Samia ang’ara kwa kupata kura 1914
Mweyekiti wa CCM Taifa, Rais Samia Suluhu Hassan amepata kura 1914 huku akipata kura moja ya hapana. Kwa Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania bara, Abdulrahman Kinana amepata kura 1,913 na mbili za hapana huku Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar, Dk.Hussein Ali Mwinyi…