Category: Siasa
Kishindo IPTL
*Uongozi wa Bunge wahofia Pinda atajiuzulu
*Wakubwa wavuta milioni 100 hadi bilioni 8
*Jaji Werema, Tibaijuka wapumulia mashine
*Wafadhili wasitisha tirioni 1 hadi kieleweke
Serikali ya Awamu ya Nne chini ya uongozi wa Rais Jakaya Kikwete, kwa mara nyingine imekutana na mtihani mgumu ambako Waziri Mkuu wake, Mizengo Pinda yupo chini ya shinikizo la kujiuzulu kutokana na malipo ya karibu Sh bilioni 400 kwa Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL).
Madai ya Nyalandu na majibu ya hoja zake
Katika gazeti la Jamhuri la Jumanne Agosti 19 – 25, 2014 ISSN No. 1821-8156 Toleo No. 150, zilichapishwa taarifa potofu zenye kichwa cha habari;
KASHFA IKULU;
· Nyalandu atumia Leseni ya Rais kuua wanyamapori 704 bure,
· Watakaouawa wamo pia tembo 8, chui 8, Simba 8, ndege,
· Wauaji ni Wamarekani marafiki wa Waziri wa Maliasili.
Wakenya waingiza mifugo Hifadhi ya Serengeti
Huu ni mpango mahsusi wa kuharibu utalii wa Tanzania na kuvutia watalii katika mbuga ya Maasai Mara nchini Kenya.
JWTZ kurudi tena DRC
Makamanda wa wapiganaji shupavu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wako mbioni kwenda Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), kuimarisha amani.
Ujio wa Rais Putin balaa
Ulinzi mkali unatarajiwa kuchukua nafasi yake, Rais wa Russia, Vladimir Vladimirovich Putin, atakapozuru Tanzania mapema mwakani kutokana na ‘mbabe’ huyo kuwa na uhasama na Marekani.
Wakati wowote Rais Putin anaposafiri — iwe ndani ya Russia au nje ya nchi — ulinzi wake ni mkali na ulio kamili (almost absolute) kama ule wa Barack Obama wa Marekani.
Kikwete awakoroga wagombea urais
- Mramba: Kununua umeme nje ya nchi, haimaanishi kuna upungufu nchini
- Wizara ya Afya yabaini wawili kuwa na ugonjwa wa Mpox nchini
- Mwenyekiti CCM, Rais Samia aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Dodoma
- Kunenge aungana na jamii, watoto kwenye Iftar iliyoandaliwa na Rais Samia
- NHIF yajivunia mafanikio yake kwa kipindi cha miaka minne
Habari mpya
- Mramba: Kununua umeme nje ya nchi, haimaanishi kuna upungufu nchini
- Wizara ya Afya yabaini wawili kuwa na ugonjwa wa Mpox nchini
- Mwenyekiti CCM, Rais Samia aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Dodoma
- Kunenge aungana na jamii, watoto kwenye Iftar iliyoandaliwa na Rais Samia
- NHIF yajivunia mafanikio yake kwa kipindi cha miaka minne
- NCAA yavuka lengo ukusanyaji mapato
- Mramba : Biashara ya kuuziana umeme kunufaisha Tanzania
- TMA yatoa tahadhari ya uwepo kwa kimbunga Jude
- Waaswa kuendelea kuchukua tahadhari kujikinga na Marburg
- Majaribio ya mabehewa 264 ya mizigo yakamilika
- Watu 700 wachunguzwa moyo Arusha
- Israel yasitisha usambazaji wa umeme katika Ukanda wa Gaza
- ‘Ulaya imeendelea kutegemea silaha kutoka Marekani’
- Papa aendelea vizuri na matibabu
- Rais Dk Samia azindua mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe