Category: Siasa
RCO K’njaro adaiwa kuwalinda wauaji
Familia ya marehemu James Massawe, aliyeuawa kikatili Juni 9, 2009 katika Kijiji cha Kindi Kibosho, Wilaya ya Moshi Vijijini baada ya kutekwa, imemwandikia barua Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP) ikihoji kutokamatwa kwa wafanyabiashara watatu ndugu ambao walihusika na utesaji huo….
Mnyukano urais wapamba moto
Wakati ikiwa imebaki takribani miezi mitatu tu kabla ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumpata mgombea wake kwa nafasi ya urais, mnyukano baina ya makada hao umezidi kupamba moto, JAMHURI imebaini. Uchaguzi Mkuu unatarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu ambao tayari makada…
Sababu za kufeli hizi hapa
Umbali mrefu kati ya shule za sekondari za kata na makazi ya wanafunzi unachangia kwa kiasi kikubwa ‘anguko’ la wanafunzi katika matokeo ya mwisho ya wahitimu wa kidato cha nne kila mwaka. Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili kwa muda…
Lowassa: Ninayaweza yote katika yeye anitiaye nguvu
Hakuna ubishi kwamba minong’ono juu ya matamanio ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, au kutajwa kuwania urais, imeshika kasi. Lowassa, Mbunge wa Jimbo la Monduli (CCM), amekuwa akitajwa kuwa miongoni mwa wanasiasa wenye nguvu kubwa na matamanio ya kuiongoza…
Walarushwa hawa hapa
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), imetangaza hadharani washitakiwa wote waliopatikana na hatia katika kesi zinazohusu rushwa. Taarifa ya ambayo gazeti hili imeipata inasema kutajwa kwa washitakiwa hao ni utaratibu mpya unaoanza kutumika mwezi huu, ikiwa ni…
Sitta: Nafaa urais
*Asema CCM ikifanya makosa, nchi itayumba Na Angela Kiwia, Dodoma Spika wa Bunge la Tisa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mzee wa Kasi na Viwango, na Waziri wa sasa wa Uchukuzi, Samuel Sitta, ameta ja sifa nne za…