JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Siasa

Mwasisi wa TANU: Rais ni Dk. Slaa

Mwasisi wa Chama cha Tanganyika African National Union (TANU), Lameck Bogohe (93), amesema mtu pekee anayestahili kuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbrod…

Maaskofu wamtega Kikwete

Tamko lililotolewa na Jukwaa la Wakristo Tanzania kuhusu Katiba Mpya, Mahakama ya Kadhi na Hali ya Usalama nchini, limeitikisa Serikali. Taarifa kutoka serikalini zinasema kwamba tamko lililotolewa na maaskofu hao linavunja moyo wa harakati za Rais Jakaya Kikwete anayetaka Tume…

Zahoro Matelephone arejea Dar

Mfanyabiashara anayedaiwa kujihusisha na usafirishaji na uuzaji dawa za kulevya nchini Zahoro Khamis Zahoro (Zahoro Matelephone) amerejea nchini kimya kimya baada ya kudaiwa kukamatwa katika nchi za Falme za Kiarabu. Matelephone ni mfanyabiashara anayemiliki maduka kadhaa ya simu za mkononi…

Lowassa aanza Safari ya Matumaini

. Machinga wamkabidhi Sh milioni 1, zana za kazi .Wakulima wa Tanga nao wamwagia Sh. 200,000 .Madiwani Bariadi wafunga safari kwenda Monduli .Mwenyewe azungumza mazito kwenye waraka   Wakati makada sita wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiendelea kufungwa kwenye adhabu…

Mama akodisha baunsa kumchapa mtoto wake

NA VICTOR BARIETY, GEITA Mtoto mwenye umri wa miaka 13 amelazimika kutoroka nyumbani na kwenda kuishi kwa wasamaria wema, baada ya kulemewa na kichapo kutoka kwa mwanaume mwenye kifua na misuli mipana (baunsa).  Mtoto huyo, mwanafunzi wa Darasa la Saba…

Uhamiaji ‘wauza’ nchi

Maisha ya Watanzania yapo hatarini kutokana na mtandao wa wafanyabiashara ya kusafirisha binadamu duniani (human traffickers) kutoka nchini Pakstan kuivuruga Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, kwa kutengeneza mtandao ndani ya Idara ya Uhamiaji.   Vyanzo vya habari vya…