Category: Siasa
ACT Wazalendo yampongeza Lissu kwa ushindi
KIONGOZI wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu amempongeza Tundu Lissu kwa kushinda nafasi ya uenyekiti wa Chadema baada kumshinda mstaafu Freeman Mbowe. Tundu Lissu amepata ushindi wa kura 513 sawa na asilimia 51.5 Odero Charles Odero amepata kura 1…
Rais Samia, Mwinyi mitano tena
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM Taifa wamempitisha Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Rais wa Tanzania, kuwania nafasi hiyo kwa muhula mwingine katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Pia mkutano huo umempitisha…
‘Hakuna mashaka kuhusu ukubwa wa wa Chama Cha Mapinduzi’
“Hakuna mashaka kuhusu ukubwa wa Chama cha Mapinduzi, hiki ndicho chama kikubwa kuliko chama kingine hapa nchini, sisi ni chama kikubwa kimuundo, kioganaizesheni, kihistoria na hata kwa idadi ya wanachama” Dkt. Samia Suluhu Hassan
Lwaitama : Tukijichanganya baada ya uchaguzi tutafutwa
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mjumbe wa bodi ya wadhamini wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mzee Azavel Lwaitama amewataka wanachama cha Chama hicho kuzingatia umoja wao hasa baada ya uchaguzi kumalizika, kwani migogoro ya ndani inaweza…