JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kurasa za Ndani

Waziri Mkuu ‘alinunua’ shule kihalali – Meneja

Na Waandishi Wetu, Lindi na Dodoma   Familia ya Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ilifuata taratibu zote halali katika kununua Shule ya Sekondari ya Nyangao, iliyopo mkoani Lindi, JAMHURI limefahamishwa. Meneja wa Shule ya Nyangao, Mathias Mkali ameliambia JAMHURI…

Maisha ya Maria na Consolata

Baada ya kuwapo sintofahamu juu ya nini hasa kilichowua watoto mapacha Maria na Consolata, Gazeti la Uchunguzi la JAMHURI limeamua kutafuta ukweli wa chimbuko la kifo cha mapacha hawa, ambao hatimaye sasa umefahamika. Mapacha hao Maria na Consolata, walifariki dunia…

Felix Wazekwa alitumia ndumba kuvuta mashabiki wa muziki

MOSHY KIYUNGI Félix Wazekwa ni mwanamuziki mwenye mbwembwe wakati akiwa jukwaani, akiimba huku akiongoza safu ya wanenguaji. Mtindo wa unenguaji wanaoutumia ni wa aina yake, ambao haulingani na mitindo mingine yoyote ya wanamuziki wa huko Jamhuri ya Kidemkrasia ya Kongo…

Viatu havibani, havipwayi vinatosha Na Angalieni Mpendu “Kweli nimeomba nipumzike kwa sabab

Na Angalieni Mpendu “Kweli nimeomba nipumzike kwa sababu, nimekitumikia chama changu muda mrefu, nimeona niachie damu mpya. Nimependa nipumzike, lakini hayo mengine yanayoandikwa ni ya kupuuza.” Ni kauli thabiti iliyojaa hiari na uungwana; na iliyoshiba haki usawa na ahadi kutoka…

NYERERE 349

Sehemu ya 7 Kama shule iko kijijini (na katika shule mpya zitakazojengwa siku zijazo) itawezekana kwamba shamba la shule liwe karibu karibu na shuleyenyewe. Lakini katika miji na katika shule za zamani zilizo katika vijiji vyetu vyenye watu wengi, huendaisiwezekane…

Ndugu Rais nguzo imeanguka paa litashikiliwa na nani?

Ndugu Rais, Abdulrahman Kinana ametuacha! Anataka kupumzika. Mwanadamu ana siku moja tu ya kupumzika. Siku Muumba wako atakayokwita ukasimame mbele ya haki! Siku hiyo utakuwa umelala peke yako! Nawe utakuwa na mapumziko ya milele kwenye nyumba yako ya milele! Hapa…