Category: Kurasa za Ndani
Polisi futeni aibu hii
Na Alex Kazenga Kwa kipindi kirefu yamekuwepo malalamiko kutoka sehemu mbali mbali nchini watu wakilituhumu Jeshi la Polisi kutumia nguvu zilizopitiliza kwa raia wanapotuhumiwa kuwa na makosa. Hali hiyo kwa mara nyingi imeacha taharuki kwenye jamii huku baadhi ya…
Serikali yabisha hodi Epanko
Serikali yabisha hodi Epanko *Wachimbaji wa sasa, wa zamani kikaangoni *Tume yapelekwa kuchunguza ukwepaji kodi *Mwekezaji avuna, wananchi waambulia soksi MAHENGE NA ANGELA KIWIA Serikali inakusudia kuunda tume ya uchunguzi baada ya kuwapo taarifa za utoroshwaji madini ya spino…
Timu za Afrika sikio la kufa
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM Wakati michezo kadhaa ya Kombe la Dunia ikiwa imepigwa katika viwanja mbalimbali nchini Urusi, timu kutoka barani Afrika hazioneshi kulitetea vema bara hili kama baadhi yake zilivyotamba wakati zikielekea Urusi. Hadi Jumapili…
Maji yaunganisha Serikali, upinzani
*Serikali yafungua mlango uwekezaji katika viwanda *Mbowe ataka elimu, gesi itumike kuzalisha umeme *Zitto apendekeza kodi ya maji Sh 160 kama umeme REA *Wabunge wapendekeza tozo ya maji miamala ya simu Na Waadishi Wetu, Dodoma Kwa mara ya kwanza katika…
Unyama polisi
Unyama polisi *Mahabusu aliyejifungulia polisi hatimaye azungumza *Polisi wawa ‘miungu-watu’, wananchi wakosa mtetezi *Mbunge afichua rushwa, unyanyasaji, kubambikia kesi KILOMBERO, NA CLEMENT MAGEMBE “Mungu ndiye kimbilio hatuna tena mwingine”, haya ndiyo maneno yaliyoandikwa kwenye kanga iliyotumiwa na mahabusu Amina…
Tusiruhusu migogoro ya kidini
Ni wiki kadhaa sasa sakata la usajili wa taasisi za dini limekuwa katika vichwa vya habari vya magazeti, huku serikali ikionesha udhaifu uliopo katika baadhi ya taasisi hizo, huku zenyewe zikikiri udhaifu na kuahidi kurekebisha. Wakati hayo yakiendelea mwishoni mwa…