Category: Kurasa za Ndani
Unapofanya haya unahesabika kutenda uhaini
Na Bashir Yakub Uhaini ni kosa la jinai. Ni kosa kati ya makosa makubwa ya jinai. Katika jinai yapo makosa makubwa na yapo makosa madogo. Yumkini udogo na ukubwa wa kosa waweza kupimwa kwa kutizama adhabu ya kosa. Kosa ambalo…
Mafanikio yoyote yana sababu (36)
Na Padri Dk. Faustin Kamugisha Kufanya mambo upesi yaliyo muhimu ni sababu ya mafanikio. “Kuahirisha jambo rahisi unalifanya liwe jambo gumu na kuahirisha jambo gumu kunalifanya liwe lisilowezekana, ” alisema George Horace Lorimer. Kama mama wa uvumbuzi ni ulazima, mjomba…
Barua ya Tundu Lissu kwa Rais Magufuli
Mheshimiwa John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ikulu, Dar Es Salaam Agosti 30, 2018 UTANGULIZI Mheshimiwa Rais, Nakusalimu kutoka Leuven, Ubelgiji ninakoendelea na matibabu. Naomba pia upokee salamu zangu za rambi rambi na pole kwako wewe…
Ndugu Rais, kwanini Mkenya afe sababu ya uchaguzi?
Ndugu Rais, wakati mwingine ninapoandika moyo wangu hujaa simanzi kuzidi uwezo wa kifua changu kuihimili. Huacha kuandika na kwenda ukutani ilipo picha tuliyopiga mimi na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, nyumbani kwake Msasani. Moyoni huiambia ile picha, “Baba,…
Makonda maji shingoni
*Kauli ya Rais Magufuli yazima ‘kiburi’ chake nchini *Sh bilioni 1.2 makontena kaa la moto, akilipa linammaliza *Wasema sasa ni ‘zilipendwa’ , wakumbushia vituko vyake *Askofu Gwajima asisitiza alikwishamfuta katika uliwengu wa siasa Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam Mkuu…
Bobi Wine, Wenzake 30 Kurejeshwa Mahakamani Leo
MBUNGE na mwanamuziki, Bobi Wine, leo anatarajiwa kurejea mahakamani mjini Gulu, kaskazini mwa Uganda anapokabiliwa na mashtaka ya uhaini. Bobi Wine na washukiwa wegine 32 wanatarajiwa kusomewa mashtaka yao kisha kesi hiyo kuhamishiwa Mahakama Kuu. Mahakama ya mwanzo ya Gulu…