Category: Kurasa za Ndani
Ukombozi wa fikra kwa Watanzania (3)
Na William Bhoke Kwa uhalisia wake, bado Watanzania hatujajitambua, Watanzania tumekuwa kama mbuzi wa kiangazi. Mbuzi wa kiangazi wanazunguka kutwa nzima pasipo kuelewa wanaelekea wapi. Imepita takriban miaka 54 tangu taifa hili kupata uhuru, lakini cha ajabu ni kwamba bado…
LINI WATATHAMINIKA?
LINI WATATHAMINIKA 1: Japo wao ndo walezi, thamani yao ni ndogo, Hufanyishwa ngumu kazi, kuzidi punda mdogo, Wengi hutokwa machozi, ya kulemewa mizigo, Mama zetu vijijini, lini watathaminika? 2: Masaa kumi na mbili, mama anachapa kazi, Lile jua lote kali,…
CHAKUA walilia ruzuku, kuwapigania abiria
NA AGUSTINO CLEMENT, TUDARCO DAR ES SALAAM Chama cha Kutetea Abiria Tanzania (Chakua) kimesema kimekuwa na wakati mgumu wa kutimiza majukumu yake ya kutetea haki za abiria kutokana na kukosa ruzuku kutoka serikalini. Chakua imekuwa ikiahidiwa na serikali kupata ruzuku…
Sheria mpya ya kulinda barabara kuanza Januari
NA MICHAEL SARUNGI, DAR ES SALAAM Serikali imetangaza kuanza kutumika kwa sheria mpya ya udhibiti wa uzito wa magari ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (East Africa Vehicle Load Control Act, 2016) kuanzia Januari mwakani ili kukabiliana na uharibifu wa barabara…
Zimamoto na Uokoaji wasaidiwe kukabili changamoto
Na Zulfa Mfinanga, Dodoma Licha ya kuwepo kwa Sheria ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchin haina mfumo wa dharura wa uokoaji katika ajali za barabarani. Sheria ya Zimamoto na Uokoaji Cap 427 ya mwaka 2008, Kifungu c cha (1)…
MAFANIKIO YOYOTE YANA SABABU (37)
Na Padri Dk. Faustine Kamugisha Moyo ni sababu ya mafanikio. Unapoweka moyo wako wote katika lile unalolifanya utafanikiwa. “Fanya kazi kwa moyo wako wote, na utafanikiwa – kuna ushindani mdogo, ” alisema Elbert Hubbard. Kuna methali ya Tanzania isemayo: “Moyo…