Category: Kurasa za Ndani
Waziri Kabudi
Wiki iliyopita Waziri wa Sheria na Katiba, Profesa Palamagamba Kabudi, akiwa Marekani aliwapa darasa wana- diaspora kuhusu mambo mazito ya historia yetu na mambo yanayofanywa na serikali, cha kushangaza kilichotiliwa mkazo ni swali lililoulizwa kuhusu Tundu Lissu tu. Watanzania tubadilike….
Waziri Lugola fika Zanzibar majipu ni mengi hayana mtumbuaji
Mhariri, kwanza nakupongeza kwa uzalendo wa kuichapa barua hii. Sababu kubwa ya kuandika andiko hili ni kumuomba Mheshimiwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, afike huku kwetu Zanzibar kujionea makosa ya barabarani yanayofanywa kwa makusudi bila kuchukuliwa…
Mafanikio, changamoto Chuo Kikuu Huria
Mafanikio, changamoto Chuo Kikuu Huria Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Profesa Elifas Bisanda, amezungumza na Gazeti la JAMHURI kuhusu historia, mafanikio, changamoto na hatima ya chuo hicho. Mwandishi MANYERERE JACKTON, aliyezungumza naye, analeta maelezo ya Profesa…
Mafanikio yoyote yana sababu (39)
Na Pd. Dk. Faustin Kamugisha Kwenda maili moja zaidi ni sababu ya mafanikio. Kufanya jambo zaidi ni sababu ya mafanikio. “Hakuna msongamano wa magari kwenye maili moja zaidi,” alisema Zig Ziglar. Maili moja zaidi haina umati wa watu. Maana yake…
Shairi: Msiba wa Taifa
1: Sioni pa kuanzia, Kueleza taarifa, Nchi yetu Tanzania, Imekumbwa na maafa, Taifa zima twalia, Ni msiba wa taifa, Watu mia na zaidi, Leo tumewapoteza. 2: Raia kwa wanafunzi, Na wazazi kwa watoto, Wametujaza simanzi, Na mili kuwa mizito, Mili…
Ajali ya mv Nyerere: tutajifunza lini?
Jambo ambalo si rahisi kuacha kulitaja ni hali duni ya usalama inayowakabili watumiaji wa vyombo vya usafirishaji kutokana na kujirudia kwa ajali mbalimbali. Watanzania tumo kwenye maombolezo ya vifo na hasara iliyotokana na ajali ya hivi karibuni ya mv Nyerere,…