Category: Kurasa za Ndani
Wanafunzi 12 watiwa mimba
MWANZA NA MWANDISHI WETU Wanafunzi 12 wa Shule ya Sekondari ya Igokelo, Misungwi, mkoani Mwanza wametiwa mimba ndani ya kipindi cha miezi minane ya mwaka huu. Wanafunzi hao ambao wako chini ya miaka 18 wameacha masomo. Pamoja nao, wanafunzi wengine…
Nukuu: Tusivunje mlango
Nyerere: Tusivunje mlango “Ikiwa mlango umefungwa, basi yafanywe majaribio ya kuufungua; umeegeshwa, (basi) usukumwe hadi ufunguke. Katika hali yoyote, gharama ya waliyomo ndani.” Haya ni maneno ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyoyatoa Toronto, Canada, Oktoba 2, mwaka 1969. Obama: Bajeti…
Jamani, walimu wanateseka!
Mwaka jana niliwaalika baadhi ya walimu wangu wapendwa walionifundisha shule ya msingi. Miongoni mwao alikuwamo aliyenifundisha darasa la kwanza. Sina maneno mazuri ya kueleza furaha niliyokuwa nayo, na zaidi ya yote, waliyokuwa nayo walimu wangu. Pamoja nao, niliwaita baadhi ya…
‘Mwizi’ wa magari Moshi apelekwa Kenya
Na Charles Ndagulla, Moshi Mfanyabiashara Bosco Kyara na mwenzake Gabriel Mombuli, wanaotuhumiwa kujihusisha na mtandao wa wizi wa magari katika nchi za Kenya na Tanzania wamesafirishwa kwenda nchini Kenya kujibu mashtaka ya wizi wa gari. Kyara ni mkazi wa Makuyuni…
Hukumu kesi ya MV Bukoba na mafunzo kwetu leo tunapoombolez
Na Bashir Yakub (A) NAMBA YA KESI Kesi ya Jinai Na. 22/1998, Mahakama Kuu Mwanza, mbele ya Jaji (B) WASHTAKIWA 1. Kapteni Jumanne Rume Mwiru. Huyu ndiye alikuwa akiendesha kutoka Bukoba kupitia Kemondo Bay hadi Mwanza. 2. Gilbert Mokiwa. Huyu…
Hati za makazi ‘kasheshe’ Temeke
Na Alex Kazenga, Dar es Salaam Maofisa Ardhi wa Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam wanatuhumiwa na wananchi wa Kata ya Yombo – Makangarawe kwa kuendesha zoezi la utoaji wa hati za viwanja kwa njia za rushwa. Tuhuma hizo…