JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kurasa za Ndani

Gesi Mtwara na mguso kwa jamii ya Lindi

Na Christopher Lilai, Lindi Lindi ni miongoni mwa mikoa ambayo bomba kubwa la gesi asilia itokayo mkoani Mtwara limepita kuelekea Kinyerezi jijini Dar es Salaam.  Kwa kiasi kikubwa gesi hiyo inatumika kufua umeme wa viwandani na majumbani kwa kiasi kidogo….

Pumzika Kaunda, mkombozi wa kweli

DAR ES SALAAM Na Zitto Kabwe Miaka 10 iliyopita nikiwa nimekaa kwenye jukwaa la wageni waalikwa katika sherehe za uhuru wa Sudan Kusini, nilimwona mzee mmoja akitembea taratibu akiwa amepinda mgongo na kitambaa cheupe mkononi. Alikuwa akitembea uwanjani kuelekea jukwaani…

ASKARI MAGEREZA: ‘Wafungwa huru’ wanaoifia nchi 

DODOMA Na Javius Byarushengo  Ukikutana nao mitaani au kwenye usafiri wa daladala wakiwa wamevaa magwanda yao yenye rangi ya ugoro, unaweza ukahisi ni watu wenye majukumu laini kama ambayo wakati mwingine hayahitaji kuumiza kichwa, lakini watembelee katika maeneo yao ya…

Hatuhitaji wageni kutulisha mafuta ya kula

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu  Jioni ya Ijumaa Juni 18, 2021 nilitazama televisheni za nchini kwetu; Balozi Ramadhan Dau na Waziri wa Kilimo, Profesa Adolf Mkenda, wakimtambulisha Ikulu mwekezaji kutoka Malaysia kwa Rais Samia Suluhu Hassan. Habari ilikuwa kwamba…

Corona iwe somo kwa Afrika kujitegemea

DAR ES SALAAM Na Mwalimu Samson Sombi Janga la virusi vya corona vinavyosababisha homa kali ya mapafu limeendelea kuitikisa dunia tangu kugundulika kwake katika Jiji la Wuhan nchini China, Desemba 2019. Dunia haikuwa makini na kuchukua tahadhari kubwa wakati ugonjwa…

Wamachinga wapoteza taswira ya Jiji

*Lajipanga kuwatafutia eneo maalumu huku likiwaonya wanasiasa ARUSHA Na Zulfa Mfinanga Jiji la Arusha ni maarufu nchini na duniani kote kutokana na kuwa kitovu cha utalii pamoja na mkoa mzima kuhodhi vivutio vingi vya utalii. Sambamba na hayo, Arusha pia…