Category: Kurasa za Ndani
‘Madalali’ Dar wawaliza wafanyabiashara Kariakoo
*Wapora mamilioni ya fedha wakijidai madalali wa mahakama *Wafanyabiashara waomba msaada Msimbazi, wanyimwa Dar es Salaam Na Aziza Nangwa Baadhi ya wafanyabiashara wa Gerezani, Kariakoo, wamelalamika kuvamiwa na watu wanaojitambulisha kama madalali wa mahakama na kuwapora mali bila sababu za…
Furaha yatawala Soko la Chifu Kingalu
DAR ES SALAAM Na ALEX KAZENGA Vicheko na furaha vimetawala kwa wafanyabiashara wadogo wenye vibanda (vioski) katika Soko la Chifu Kingalu lililopo Manispaa ya Morogoro, baada ya kodi yao kupunguzwa. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Martine Shigella, ametangaza hayo hivi…
Mwisho wa Netanyahu kisiasa?
TEL AVIV, ISRAEL Mwamba wa kisiasa wa Israel umeanguka. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Benjamin Netanyahu kushindwa kutetea nafasi yake ya uwaziri mkuu nchini humo. Netanyahu amedumu katika nafasi hiyo kwa kipindi kirefu kiasi cha kuonekana kuwa kioo cha Serikali…
NATO yaionya China
BRUSSELS, UBELGIJI Jumuiya ya NATO imetoa onyo kali kwa China dhidi ya harakati zake za kujiimarisha kijeshi lakini ikasema kauli yake hiyo haimaanishi kuwa ipo tayari kuingia kwenye vita baridi na nchi hiyo ya Mashariki ya Mbali. Wakizungumza katika kikao…
Marekani yapanga kwenda Sayari ya Venus
WASHINGTON, MAREKANI Shirika la Anga za Mbali la Marekani (NASA) limepanga kurusha vyombo viwili kwenda kwenye Sayari ya Venus. Shirika hilo limetangaza hivi karibuni kuwa limepanga kufanya safari mbili zitakazofanyika katika kipindi cha miaka 30 ijayo. “Safari hizi mbili zinazohusiana…
KING ENOCK… Mwalimu wa muziki wa dansi
TABORA Na Moshy Kiyungi Mzaliwa wa Zambia, Michael Enock, aliyekuja kutambulika baadaye kama ‘King’ au ‘Teacher’, aliingia nchini mwaka 1960 na kuwa nguzo ya muziki wa dansi. Pamoja na sifa kubwa alizokuwa nazo miongoni mwa mashabiki wa muziki na hata…