Category: Kurasa za Ndani
Vijana tusiishi na faraja
Vijana ni nguvu kazi ya taifa. Wao ndio tegemeo kubwa la kujenga na kuleta maendeleo ya taifa, hasa katika taifa linalokusudia kuleta maendeleo ya kiuchumi, kisayansi na kijamii. Ni yumkini taifa lisilo na vijana ni ufu. Vijana hawa wapo wa…
Katiba imara bila taasisi imara ni unyang’au tu!
DODOMA Na Javius Byarushengo Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama, alipofanya ziara nchini Ghana mwaka 2009 akiwa madarakani, alisema kuwa ili Bara la Afrika lipate maendeleo, halihitaji kuwa na watu imara bali taasisi imara. Kimsingi Obama, Mmarekani wa kwanza…
UHURU WA MAREKANI: Je, inajifunza kutokana nao?
Zanzibar Na Masoud Msellem Julai 4, kila mwaka dola ya Marekani huadhimisha siku ya kumbukumbu ya uhuru wake. Mwaka huu inaadhimisha uhuru huo ikiwa ni miaka 245 tangu iupate kutoka kwa Himaya ya Uingereza mwaka 1776. Uhuru huo ulipatikana baada…
Agizo la Waziri TAMISEMI latekelezwa
GEITA Na Antony Sollo Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe, mkoani Geita limetekeleza agizo lililotolewa na Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), David Silinde, kwa kuwaweka kando kupisha uchunguzi watumishi watatu wa…
Diwani alilia magofu ya Serikali
DAR ES SALAAM Na Alex Kazenga Pamoja na serikali kutilia mkazo ujenzi wa sekondari na vituo vya afya kila kata, Kata ya Minazi Mirefu iliyopo Ilala jijini Dar es Salaam hali ni tofauti. Kata hiyo iliyoanzishwa mwaka 2015 yenye wakazi…
Chongolo, Shaka wakemea uzembe
SUMBAWANGA Na Mwandishi Wetu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, ameacha maagizo mazito kwa uongozi wa Mkoa wa Rukwa baada ya kumaliza ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani hapa. Miongoni mwa maagizo hayo ni kumtaka Mkuu…