JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kurasa za Ndani

Fitina za siasa zinavyoitafuna Afrika Kusini

DAR ES SALAAM Na Mwalimu Samsom Simbi Kufikia mwaka 1960 baadhi ya nchi za Afrika zilikuwa zimepata uhuru na kuanza kujitawala zikiwa na jukumu kubwa la kutoa mchango wa hali na mali katika ukombozi wa Bara zima la Afrika. Pamoja…

Katiba 2025 itamke kama ni Ujamaa au la!

BAGAMOYO Na Marie binti Shaba Katika hotuba yake kwa taifa kupitia wanawake, Rais Samia Suluhu Hassan, aligusia mambo yaliyojaa busara. Binafsi niliguswa na mbinu aliyoitumia kuelezea kwamba binadamu wote tuna nguvu sawa mithili ya pande mbili za sarafu moja.  Samia…

Kampuni ya Kitanzania ya uwindaji yashinda kinyang’anyiro cha kitalu

DODOMA Na Lusungu Helela, WMU Kampuni ya Kitanzania ya Bushman Hunting Safaris imekuwa ya kwanza kwenye tasnia ya uwindaji wa kitalii nchini kushinda na kukabidhiwa mkataba wa Uwekezaji Mahiri katika Maeneo ya Wanyamapori (SWICA). Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk….

TCCIA kuwainua vijana kibiashara

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Rais wa Chemba ya Wafanyabiashara, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA), Paul Koyi, ametoa wito kwa vijana wanaojishughulisha na biashara kujiunga na chemba hiyo. Akizungumza wakati wa ziara yake Makao Makuu ya Kampuni ya Salim…

Tunatia aibu, tunapuuzwa

Wiki iliyopita alifariki dunia mmoja wa watu niliowapenda na kuwaheshimu mno. Utendaji kazi wake uliniaminisha kuwa pengine hakuna haja ya kuwa na mfumo huu wa sasa wa Serikali za Mitaa katika miji, manispaa na majiji.  Charles Keenja, alifanya kazi kubwa…

Maendeleo yetu na kasi ya teknolojia

Maendeleo ya mtu au watu (jamii ) yanahitaji masharti mawili – JUHUDI na MAARIFA, ambayo msingi wake mkubwa ni mtu (mwananchi) na uwezo wake. Katika utaratibu huu ili mwananchi aendelee atahitaji vitu vinne ambavyo ni Ardhi, Watu, Siasa safi na…