Category: Kurasa za Ndani
Chanjo ya corona yagombewa
*Dar es Salaam, Moshi, Arusha waomba upendeleo *Waongoza watalii waomba ruhusa kuagiza chanjo *Wananchi waweka kando propaganda na kuamua ‘maisha kwanza’ Na Waandishi Wetu Maelfu ya wananchi wamejitokeza kupata chanjo ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu, COVID-19, unaosababishwa na…
Maswali, majibu kuhusu chanjo ya corona
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Maalumu Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) iliyo chini ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetoa ufafanuzi wa kina kuhusu aina mbalimbali za chanjo za Covid – 19 (corona). …
Messi na ukurasa wa mwisho Camp Nou
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Kila zama na kitabu chake. Kila nabii na kitabu chake. Hii ni misemo maarufu katika jamii na hutumika mara kwa mara. Messi naye ana kitabu chake katika Klabu ya Barcelona na soka kwa ujumla…
JOSEPHINE ‘JOLLY BEBE’ Maadili ya Kiafrika lazima yatunzwe
TABORA Na Moshy Kiyungi Unenguaji ni chachu na kivutio katika muziki wa dansi na hata muziki wa Injili. Huenda mwaka 1973 ndiyo ilikuwa mara ya kwanza Tanzania kushuhudia umahiri wa unenguaji jukwaani. Wakati huo TP OK Jazz ya DRC chini…
Mahabusu alalamika kwa DPP kubambikiwa dawa za kulevya
Ndugu mhariri, mimi mahabusu Said Mbaraka, ninaomba kufikisha malalamiko yangu ya kubambikiwa kesi ya kukutwa na gramu 41 za dawa za kulevya aina ya Heroin kwa Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), Sylvester Mwakitalu. Kesi hiyo (EC. No 07/202) iliyopo Mahakama ya…
Wazee wa kimila Mbeya waibukia kilimo
MBEYA Na Mwandishi Wetu Mapinduzi katika kilimo yanayoendelea nchini yameungwa mkono na wazee wa kimila mkoani Mbeya, wakiamini kuwa sasa taifa limo katika mwelekeo sahihi. Mbali na kilimo, mapinduzi hayo yamegusa pia sekta za uvuvi na ufugaji kwa miaka mitano…