JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kurasa za Ndani

Binti aboresha kitimwendo kuwasaidia walemavu

*Sasa kitawawezesha kufanya kazi za mikono, mazoezi kwa urahisi *Agizo la Serikali kwa TIRDO, SIDO kushirikiana naye lapuuzwa Dar es Salaam Na Alex Kazenga  Binti wa Kitanzania, Joan Mohamed (24), ameibuka na ubunifu wa aina yake utakaokifanya kitimwendo (wheelchair) kuwa…

Katiba thabiti huleta ustawi, furaha ya kweli

MOROGORO Na Everest Mnyele Tumekwisha kuzungumzia kwa ujumla nini maana ya katiba thabiti na inapaswa kuwa vipi. Leo tutazame umuhimu wake kwa uchumi, ustawi na furaha ya kweli kwa wananchi; furaha (ya kweli) ikiwa ndicho kipimo cha juu kabisa cha…

Sensa kufanyika kidijitali

Zanzibar Na Mwandishi Wetu Rais Samia Suluhu Hassan amezindua nembo na tarehe ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022. Uzinduzi huo ulifanyika Aprili 8, mwaka huu katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar ambapo Rais alitangaza kuwa…

TCD, kikosi kazi wapewa jukumu zito

Dodoma Na Mwandishi Wetu  Kikosi kazi cha kukusanya maoni ya marekebisho ya sheria ya vyama vya siasa na ile ya uchaguzi, kimetakiwa kukusanya maoni na mapendekezo ambayo hayataibua maswali kwa serikali wakati wa kuyapitisha. Agizo hilo limetolewa na Rais Samia…

Mwelekeo mpya siasa wanukia

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu    Mapendekezo ya kikosi kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa huenda yakafanikisha kuleta mwelekeo mpya wa mwenendo wa siasa za hapa nchini. Baada ya Rais Samia Suluhu Hassan…

Wanaharakati Afrika wakutana  Dakar kuizungumzia Palestina

Na Nizar K Visram (Canada) Machi 10 hadi 12, mwaka huu wanaharakati kutoka nchi za Afrika wamekutana Dakar, Senegal.  Hawa ni wawakilishi wa makundi kutoka Botswana, Cameroon, Cote d’Ivoire, DR Congo, Gambia, Ghana, Guinea-Bissau, Mauritania, Morocco, Msumbiji, Namibia, Tunisia,  Zambia,…