Category: Kurasa za Ndani
Hafla ya Rais azungumze Rais
Mzee Ali Hassan Mwinyi amepata kusema kila kitabu na zama zake. Kuanzia uongozi wa Awamu ya Kwanza hadi sasa Awamu ya Sita, yapo mambo yanabadilika kulingana na kiongozi aliye madarakani. Haiwezekani staili ya kiongozi mmoja ikafanana au ikatofautiana kwa asilimia…
Kuna watu wananyimwa ‘keki ya taifa’?
Na Joe Beda Rupia Keki. Inadhaniwa kuwa ni moja kati ya vyakula vitamu duniani. Wakati mwingine hutumika kama alama ya upendo na umoja. Keki. Shughuli bila keki haijakamilika. Harusi au sherehe za kuzaliwa bila keki! Hiyo haiwezi kuwa shughuli. Haijakamilika….
Adaiwa kuiba misalaba makaburini
KATAVI Na Walter Mguluchuma Polisi mkoani Katavi wanamshikilia mkazi wa Majengo mjini Mpanda, Mashaka Sokoni (28), kwa tuhuma za kukutwa na vipande 35 vya vyuma vya misalaba ya makaburi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Benjamin Kuzaga, amesema Sokoni amekamatwa…
TIC yaanika mafanikio ya uwekezaji
DARE SALAAM Na Aziza Nangwa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) kimesema miradi mipya 235 yenye thamani ya mabilioni ya fedha imesajiliwa katika kipindi cha mwaka 2020/21. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa TIC, Dk. Maduhu Kazi, anasema miradi…
Zengwe la mafuta
*Masilahi binafsi ya vigogo yatajwa yaongeza bei za dizeli, petroli nchini *Wapandisha usafirishaji kutoka Sh 110,000 hadi Sh 165,000 kwa tani *Rais Samia ambana Waziri, Septemba ashusha usafirishaji hadi Sh 13,000 kwa tani *EWURA yataka maelezo hasara ya Sh milioni…
Ofisa PSSSF mbaroni kwa wizi
*Adaiwa kuongoza genge la madalali feki wa mahakama *Anaswa baada ya JAMHURI kuripoti taarifa za genge hilo DAR ES SALAAM Na Aziza Nangwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Ilala limewafikisha mahakamani watu sita akiwamo ofisa wa Mfuko wa Pensheni kwa…