Category: Kurasa za Ndani
Wananchi, madaktari Mtwara wafurahia huduma za madaktari bingwa wa MOI
MTWARA NA AZIZA NANGWA Wananchi mkoani Mtwara wamesema kutokana na wimbi kubwa la ajali za barabarani hasa zinazotokana na pikipiki na magari, wanaona kuna umuhimu wa kuwa na huduma za madaktari bingwa wa mifupa kwenye maeneo ya vijijini, JAMHURI limeambiwa….
Rais Mwinyi: Tunadhibiti wizi wa fedha za umma
UNGUJA Na Mwandishi Wetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema hatua za serikali zinazochukuliwa dhidi ya wizi wa fedha za umma ni juhudi za makusudi katika kuhakikisha zinapokusanywa zinawafaidisha walio wengi badala…
Bouteflika afariki dunia
ALGIERS, ALGERIA Rais wa zamani wa Algeria, Abdelaziz Bouteflika, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 84 baada ya kuugua kwa muda mrefu. Bouteflika ameliongoza taifa hilo la kaskazini mwa Afrika kwa takriban miongo miwili, akaachia ngazi mwaka 2019 baada…
Machozi… Albamu iliyompaisha Lady Jaydee
TABORA Na Moshy Kiyungi Judith Wambura, maarufu kama Lady Jaydee, Jide, Komandoo au Binti Machozi ni miongoni mwa wasanii wakongwe wa kike nchini. Msanii huyu ana kipaji na uwezo mkubwa wa kutunga na kuimba nyimbo zenye ujumbe mzito kwa jamii…
Amuua mama, atoweka na mtoto
SHINYANGA Na Antony Sollo Mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Rahim Mwita mkazi wa Sarawe mkoani hapa, anadaiwa kumuua mkewe, Monica Lucas, kisha kutokomea kusikojulikana na mtoto wa mama huyo ajulikanaye kwa jina la Prince. Ndugu wa mama huyo, Mabula…
Kilichowaponza mawaziri
*Baadhi waliacha kazi wakawaza urais 2025, Kalemani bei ya mafuta yamponza *Rais Samia aanza kufumua mtandao masilahi, apanga watumishi wa wananchi *Shibuda: Rais amepata gari la tani 100, magari ya tani tano yampishe *ACT Wazalendo: ‘Rais Samia Suluhu amechelewa kufanya…