JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kurasa za Ndani

Mambo ya msingi hayatajwi madai Katiba mpya

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Mjadala kuhusu hitaji la Katiba mpya bado haujakufa miongoni mwa wananchi, wanaharakati, wasomi na wanasiasa.  Lipo kundi la wale wanaodhani sasa ni muda mwafaka kwa Tanzania kuwa nayo. Pia wapo wale wanaoamini kwamba waraka…

‘Chanjo ya UVIKO-19 ishara ya upendo kwa jirani’

Na Waandishi Wetu Nia ya uchambuzi huu ni kutoa ushauri kwa watu, hususan Wakristo, katika suala la kujikinga na Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO-19).  Tunajua ugonjwa huu ni hatari na umeua watu wengi duniani kwa kipindi kifupi. Ni janga…

Mafisadi wajipanga

*Ni vigogo wazito serikalini, waanza figisu ujenzi wa reli ya SGR *Washirikiana na wazabuni wa nje kuhujumu ‘Lot 3’ na ‘Lot 4’ *Waanzisha kundi wakijiita wazalendo, latajwa ni fedha mbele *Kenya walipigwa bilioni 18.4 kila kilomita, wailengesha Tanzania DODOMA Na…

Pazia urais 2025 lafungwa

*Ameamua kuvunja kikombe, wenye nia na urais wasubiri hadi 2030 *Queen Sendiga: Wanawake tukikosea 2025 tutasubiri kwa miaka 100 *Dorothy Semu ataka kwanza awajengee wanawake uwezo kiuongozi DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Wakati ndoto za kugombea urais mwaka 2025…

Polisi walikoroga

NA MWANDISHI WETU SHINYANGA Shinikizo linawekwa kwa Jeshi la Polisi Wilaya ya Bukombe mkoani Shinyanga kumchukulia hatua za kisheria mwalimu anayetuhumiwa kumuua mkewe ambaye pia ni mwalimu, kisha ‘kuigiza’ kuwa amejinyonga. Katika kibali cha mazishi, inathibitishwa kuwa chanzo cha kifo…

Polisi msikamate kabla ya upelelezi

Na Deodatus Balile, Dodoma Kwanza ninaomba kuwashukuru wasomaji wangu kwa mrejesho mkubwa mno kutokana na safu hii ya SITANII kwa makala niliyoiandika wiki iliyopita.  Katika makala ya wiki iliyopita nilimwomba DPP kutumia mamlaka yake ya kisheria kuiondoa mahakamani kesi inayomkabili…