JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kurasa za Ndani

Jbwai wa Canada azungumzia ‘Certified’

DAR ES SALAAM Na Christopher Msekena Bara la Afrika halijawahi kukaukiwa na vijana wenye vipaji wanaofanya shughuli za usanii na sanaa ndani na nje ya bara hili, huku wakifikia hatua mbalimbali za mafanikio. Miongoni mwa vijana hao ni Michael Baiye,…

Mtazamo kuhusu ‘Royal Tour’ (1)

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Juni 27, 2004 nilifanikiwa kukutana na Peter Greenberg, mtayarishaji wa kipindi cha televisheni cha ‘The Royal Tour’ na kuzungumza naye mambo mengi kuhusu kipindi hicho na uzoefu wake kama mwanahabari, ‘producer’ wa utalii duniani…

Mubarak: Rais wa Misri aliyetorosha mabilioni

Na Nizar K Visram Mahakama ya Umoja wa Ulaya (EU) imeamuru mali za rais wa zamani wa Misri, Hosni Mubarak, ambazo ziko Ulaya zisizuiwe, hivyo kuiruhusu familia yake kuzimiliki bila pingamizi. Hukumu hiyo imetolewa Aprili 6, mwaka huu, ikihitimisha kesi…

Wataalamu wazawa JKCI wafanya maajabu

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Kwa mara ya kwanza wataalamu wazawa wa magonjwa ya moyo na wazibuaji wa mishipa ya damu ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wamezibua mishipa miwili inayopeleka damu kwa wakati mmoja kwenye…

BEI YA MAFUTA Kauli ya Shabiby yazua mjadala

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Kauli iliyotolewa bungeni jijini Dodoma wiki iliyopita kuhusu kutaka kutazamwa upya kwa utaratibu wa uagizaji wa mafuta ili kuleta ushindani sokoni, imepokewa kwa mitazamo tofauti. Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu,…

Bandari ya Dar es Salaam  yaweka historia mpya

*Meli kubwa yatia nanga   ikiwa imebeba magari 4,041 DAR ES SALAAM Na Mwandishi Maalumu Bandari ya Dar es Salaam imevunja rekodi yake baada ya wiki iliyopita kupokea meli kubwa zaidi kuwahi kufika, pia ikiwa ni ya kwanza yenye mzigo mkubwa…