JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kurasa za Ndani

KUNA MAMBO PAUL MAKONDA ANAPATIA

Naungana na Watanzania wote kutoa pole kwa familia ya Komredi Kingunge Ngombale-Mwiru, kutokana na kifo cha mwamba huo wa siasa katika Taifa letu. Mzee Kingunge atakumbukwa kwa umahiri wake wa kujenga hoja na weledi aliojaaliwa na Mwenyezi Mungu, hata akaweza…

Siku Afrika ikiwa kama Marekani itakuwaje?

Na Deodatus Balile   Kwa muda sasa nafuatilia siasa za Afrika na sehemu nyngine duniani. Leo nitajadili mataifa mawili; Marekani na Kenya. Nafuatilia kinachoendelea nchini Marekani. Nafuatilia kinachoendelea nchini Kenya. Narejea misingi ya uhuru wa mawazo na uhuru wa vyombo…

Rasilimali za Tanzania na Umaskini wa Watanzania

Na William BHOKE Mwanza   Mjadala huu ninaoenda kuuzungumza ni mtazamo na maoni yangu. Nitashukuru kama mjadala huu utagonganisha fikra na mitazamo ya Watanzania wengi. Binafsi ninaamini falsafa ya mgongano wa kifkra kwani unazaa mawazo mapya na ambayo hayakuwapo. Mwezi…

‘BUNDI’ WA MGOGORO WA ARDHI ATUA ARUSHA

Na Charles Ndagulla, Arusha Halmashauri ya Jiji la Arusha imezidi kuandamwa na tuhuma za ugawaji holela wa ardhi inayomilikiwa na watu wengine, hivyo kuzidisha kero na malalamiko kutoka kwa wananchi. Hali hiyo imebainika ikiwa ni takribani wiki moja baada ya…

TLS: WANASHERIA HATUOGOPI MABADILIKO

Na Mwandishi Wetu Napenda nianze hotuba yangu kwa kuishukuru Mahakama kwa kuweka misingi ya kudumu katika kuadhimisha wiki ya sheria kila mwaka, kwa kufanya ufunguzi rasmi wa shughuli za Mahakama. Sisi mawakili na wanasheria ni wadau muhimu katika mchakato wa…

Msimamo wa AG Mpya Kuhusu Makinikia

Andiko hili ni la Mwanassheria Mkuu wa Serikali (AG), Dk. Adelardus Kilangi. Aliliandika mwaka jana akiwa Mkurugenzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine, Tawi la Arusha. Dk. Kilangi kitaaluma ni mwanasheria ambaye miongoni mwa maeneo aliyobobea ni kwenye sheria za…