Category: Kurasa za Ndani
Ndugu rais giza nene limetanda mbele yetu!
Ndugu Rais toka tupate uhuru nchi hii imeongozwa na marais watano katika awamu tano tofauti. Rais wa awamu ya kwanza, Mwalimu Julius Nyerere ameshatangulia nyumbani kwa Baba katika mapumziko yake ya milele. Kila anayemkumbuka humwombea mapumziko ya amani. Tumekuwa tukifundishwa…
Mafanikio yoyote yana sababu (10)
Padre Dk Faustin Kamugisha Kutoa ni sababu ya mafanikio. Mtu anaweza kufilisika si kwa sababu anatoa bali kwa sababu hatoi. Asiyepoteza haokoti. Kwamba kutoa ni sababu ya mafanikio, jambo hili limethibitishwa na watu wengi. “Mtu mwenye busara haweki hazina kwa…
Serikali ichunguze e-passport
Wiki mbili zilizopita tumechapisha habari za uchunguzi juu ya mradi wa e-passport. Tumeeleza katika habari hizo kuwa kuna ufisadi unaokadriwa kufikia Sh bilioni 90, fedha ambazo waliokabidhiwa jukumu la kutafuta mzabuni kama wangetenda kwa masilahi ya taifa basi zingeokolewa. Katika…
Ligi ya Bundesliga kubadilishwa
Berlin, Germany Mchezaji wa zamani wa klabu ya Bayern Munich ya Ujerumani, Stefan Effenberg, amesema kuna haja ya mfumo wa ligi ya nchi hiyo kufanyiwa marekebisho kwa manufaa ya klabu na timu ya taifa ya nchi hiyo. Amesema ligi ya nchi hiyo…
Viongozi wajifunze kwa Ellen Sirleaf
NA MICHAEL SARUNGI Wiki chache zilizopita, Rais mstaafu wa Liberia, Ellen Johnson Sirleaf, alitunukiwa tuzo ya Mo Ibrahim ya mafanikio katika uongozi wake katika kipindi cha mwaka uliopita, na kujizolea kiasi cha dola za Marekani milioni tano. Mwanamama huyo shupavu, ameiongoza…
Simba na Yanga zatahadharishwa
NA MICHAEL SARUNGI Ushindi wa klabu za Simba na Yanga katika mechi za kimataifa zilizocheza haziwezi kuwa kipimo cha ubora wao katika mashindano hayo ya kimataifa kutokana na udhaifu uliooneshwa na wapinzani wao, badala yake wanapaswa kujitathmini kabla. Wakizungumza na…