Category: Kurasa za Ndani
Serikali yadhibiti ‘Wakorea Weusi’ Mbeya
Na Thompson Mpanji, Mbeya JESHI la Polisi limesema limefanikiwa kudhibiti matukio ya kiuhalifu yaliyokuwa yanadaiwa kusababishwa na kundi la vijana lililoibuka na kujiita jina la ‘Wakorea Weusi’ ambalo lilionekana kuwa tisho kwa maisha ya wananchi wa mkoa huu na mali zao….
Maendeleo ni kazi
Wiki iliyopita kwenye maandiko ya mwalimu katika kitabu cha “Maendeleo ni kazi” tuliona agizo la mwalimu la kutaka chama tawala kushughuka na mambo ambayo tayawafanya wananchi kujitawala wenyewe katika maisha yao ya kila siku. Sehemu inayofuata ni mwendelezo wa tulipoishia…
MSD kuzindua bohari Bukoba, Songea
Na Mwandishi Wetu Bohari ya Dawa nchini (MSD) katika kuongeza unfanisi na kufikisha huduma karibu na wananchi katika mwaka huu wa fedha imepanga kuzindua bohari za kisasa za kuhifadhia dawa katika mikoa ya Kagera na Ruvuma. Mkurugenzi Mkuu wa…
Mafanikio yoyote yana sababu (13)
Padre Dk Faustin Kamugisha Kujiamini ni sababu ya mafanikio. “Kujiamini! Kujiamini! Kujiamini! Huo ni mtaji wako,” alisema John Wanamaker. Kujiamini ni raslimali yako. Safari kuelekea kwenye jiji la mafanikio inahitaji mafuta yanayoitwa kujiamini. Uwezekano wa kushinda unazidi hofu ya kushindwa….
Soma vitabu uyashinde maisha
”Kama mtu fulani angeniambia kuwa siku moja ntakuwa Papa, ningesoma kwa bidii” – Papa Yohane Paul I Mtunga mashairi wa Uingereza George Gordon Byron Noel [1788-1824] alipata kuitumia kalamu yake kuandika hekima hii, ”Tone moja la wino wa…
Lugha ni chombo cha mawasiliano
Na Angalieni Mpendu 0717/0787 113542 Lugha ni chombo cha mawasiliano, na kinaunganisha pande mbili katika mambo mbalimbali: kama vile elimu, mahusiano na kadhalika. Lugha pia ni mpangilio wa sauti na maneno unaoleta maana ambayo hutumika na watu kuanzia familia, taifa…