JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kurasa za Ndani

Wanafunzi ‘Shule ya Waziri Jafo’ wasomea chini ya mti

DODOMA EDITHA MAJURA Shule ya Msingi Nzuguni ‘B’  ya mkoani Dodoma, inakabiliwa na uhaba wa vyumba vya madarasa hivyo kuwalazimu wanafunzi kusoma kwa zamu. Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Seleman Jafo ndiye mlezi…

Hongera Rais John Magufuli

Wiki iliyopita, Rais John Magufuli alipokea ndege aina ya Bombardier Q400 yenye uwezo wa kubeba abiria 70, ikitokea nchini Canada. Katika hafla hiyo, Rais Magufuli akawataka Watanzania kujivunia ndege hiyo ya tatu ikiwa ni miongoni mwa ndege sita alizoahi kuzinunua….

Mafanikio yoyote yana sababu (16)

Padre Dk Faustin Kamugisha Kufanya kazi kwa bidii ni siri ya mafanikio. Kuchapa kazi ni siri ya mafanikio. Ndoto hazifanyi kazi mpaka uzifanyie kazi. Haitoshi kuwa na kipaji lazima kufanya kazi kwa bidii. “Kipaji bila kufanya kazi kwa bidii si…

Cape Town: Jiji la kitalii linalokabiliwa na upungufu wa maji

Cape Town iliyopo Afrika Kusini ni miongoni mwa majiji machache yenye vivutio vya utalii vinavyochangia pato la taifa hilo lenye nguvu kubwa ya uchumi barani Afrika, hivi sasa linakabiliwa na upungufu wa maji ulio kero kwa wenyeji na wageni. Meya…

Wakulima wa kahawa kupata neema

Na Charles Ndagulla, Moshi WAKULIMA wa zao la kahawa nchini hawana budi kufurahia mabadiliko ya taratibu mpya  za usimamizi wa sekta ndogo ya kahawa baada ya kupitishwa kwa uamuzi mgumu ambao utachangia kuleta ufanisi katika uzalishaji wa zao hilo. Miongoni…

Nyerere – Demokrasia

“Wananchi wanapoonyesha makosa ya uamuzi wa kipumbavu wanatumia haki yao ya uraia. Wanaponung’unika kwa uamuzi ambao si wa kipumbavu wanaweza wakaelekezwa mpaka wakaelewa kwanini uamuzi ule ulifanyika, na faida zake ni nini.” Nukuu hii ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyochukuliwa…