JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kurasa za Ndani

Wanafunzi ‘Shule ya Waziri Jafo’ wasomea chini ya mti

DODOMA EDITHA MAJURA Shule ya Msingi Nzuguni ‘B’ ya mkoani Dodoma, inakabiliwa na uhaba wa vyumba vya madarasa hivyo kuwalazimu wanafunzi kusoma kwa zamu. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Seleman Jafo, ndiye…

Na Mwinjilisti Kamara Kusupa

0767 311422   Ninaandika barua hii nikiamini kwamba endapo utaitilia maanani na ukauelewa ujumbe wake, utaepusha janga na maafa kwa nchi. Usipoona umuhimu wake, kwangu si muhali, ninachojali ni kuufikisha ujumbe kwako na kwa Watanzania unaowatawala. Nimelitafakari kwa umakini onyo…

Waziri Mkuu ataja mafanikio ya JPM

NA MWANDISHI WETU, DODOMA Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ametaja mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Tano, na kutoa mwito kwa wananchi kuzidi kuunga mkono juhudi za serikali. Hayo yamo kwenye hotuba yake kuhusu Mapitio na Mwelekeo wa Kazi za Serikali…

KARUME 341

RAJAB MKASABA   ZANZIBAR   RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein ameongoza hitma ya kumuombea dua Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, iliyofanyika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui…

Fimbo ya mbali na udhaifu wake

Moja ya kaulimbiu alizotoa Mwalimu Julius Nyerere alipoanza kuongoza Tanzania ilikuwa kusisitiza vipengele vinne muhimu vya kuleta maendeleo: ardhi, watu, siasa safi, na uongozi bora. Naijenga zaidi hoja juu ya umuhimu wa watu, siyo kwa ujumla wake kama ambavyo Mwalimu…

Mafanikio yoyote yana sababu (17)

Na Padre Dk. Faustin Kamugisha Kujua unachokitaka ni siri ya mafanikio. “Kama unataka kufanikiwa maishani, lazima ujue unachokitaka,” amesema Fabienne Frederickson. Amua unataka nini? Kama unataka kuishi bila kujutia, tafuta unachokitaka ili mradi ni kizuri na ni halali. “Kama unataka…