JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kurasa za Ndani

Tuboreshe elimu, tutokomeze utoro

MTAZAMO. NA ALEX KAZENGA Wakati bunge likijadili kupitisha bajeti ya Sh trilioni 1.4 iliyoletwa na Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi kwa mwaka wa fedha 2018/19, wabunge waliochangia bajeti hiyo wameonya kuhusu ubora na viwango vya elimu visivyoridhisha. Katika…

Viwanja vitakavyotumika Kombe la Dunia Hivi Hapa

Nchi 32 wanachama wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) zinatarajiwa kwenda nchini Urusi kushiriki michuano ya kombe la dunia, viwanja 11 vinavyotarajiwa kutumika nchini humo  ni vifuatavyo Luzhniki Stadium, Moscow Hiki ni kiwanja kikubwa kuliko vyote nchini humo na…

Wafungwa wanavyoteswa Shinyanga

Na Mwandishi Wetu, Shinyanga Vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu katika magereza nchini vinaendelea licha ya Tanzania kuwa miongoni mwa mataifa mbalimbali duniani yaliyokubaliana kukomesha vitendo hivyo. Mbali na matamko ya kisera ambayo Tanzania imeridhia kwenye ngazi ya kikanda…

Nyerere: “Kama idadi ingekuwa ngamia, Afrika ingekuwa juu”

  Haya ni maneno aliyoyasema Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika siku ya maadhimisho ya miaka 40 ya Uhuru Ghana, jijini Accra, mwaka 1997. Alizitaka nchi za Afrika kuungana kuwa na nguvu ya kiuchumi na sauti kubwa zaidi kwani pamoja na…

Barua ya wazi kwa Mheshimiwa Rais

Mheshimiwa Rais Dk. John Magufuli. Mimi ambaye ni mkazi wa Mkoa wa Tabora niliporwa nyumba yangu mwaka 2006 na wenye uwezo wa kiuchumi lakini mpaka leo sijafanikiwa kuipata. Kwamba mheshimiwa rais, nilijitahidi kufuata hatua zote muhimu zikiwa ni pamoja na…

Historia ya vyama vya ukombozi yaibuliwa Windhoek

Leo ni Mei Mosi, Siku ya Wafanyakazi Duniani. Siwezi kukwepa taratibu za itifaki kwa kutoa salamu za pongezi kwa wafanyakazi wote kwa kuadhimisha siku hii muhimu kwetu sote leo. Salamu maalumu napenda kuzitoa kwa wanahistoria kwa kazi kubwa wanayofanya ya…