JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kurasa za Ndani

Yah: Mhe Rais, hili ni ombwe zaidi ya ombwe

Wiki jana, nimetembelea ofisi moja ya kiongozi ambaye anasemekana anaingilia kazi za watu. Lengo langu lilikuwa ni kuonana naye tena nikiwa na hasira sana kuwasilisha malalamiko yangu ya uzembe wa viongozi wengine katika maeneo yao. Kilichonikuta kule ni huruma ya…

Waukana Utanzania

DODOMA NA MWANDISHI WETU Watanzania 60 wameukana uraia na hivyo kuwa raia wa mataifa mengine, Bunge limeambiwa. Wakati Watanzania hao wakiukana Utanzania, wageni 135 wameomba na kupewa uraia wa Tanzania katika kipindi cha Julai, 2017 hadi Machi, mwaka huu; idadi…

Bandari ya Kigoma kiungo Maziwa Makuu

Na Mwandishi Maalum   Wiki iliyopita tuliwaletea makala ya jinsi Bandari ya Tanga ilivyo fursa muhimu kwa uchumi wa Tanzania na kwa nchi za Uganda na Sudani Kusini, pia bandari hiyo inaweza kuhudumia soko la DRC, Burundi na Rwanda kupitia…

Kigogo CCM anaswa uraia

*Anyimwa pasipoti kwenda ziarani China *Apanda vyeo na kushika nafasi nyeti nchini *Apewa maelekezo mazito kutimiza masharti *Baba aliingia Tanzania akiwa na miaka 3   NA WAANDISHI WETU, DODOMA   Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara, Samwel…

Serengeti Boys yajipanga Afcon 2019

NA MICHAEL SARUNGI Ubingwa wa Kombe la Chalenji walioupata vijana wa Tanzania chini ya miaka 17 (Serengeti boys) unapaswa kuwa chachu ya kutwaa ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), mashindano yanayotarajiwa kufanyika hapa nchini mwakani. Wakizungumza na JAMHURI…

Uhuru wa habari uanzie kwenye vyumba vya habari

DODOMA. EDITHA MAJURA. Serikali na Vyombo vya habari, wametuhumiana kuminya uhuru wa vyombo vya habari nchini. Wakati serikali ikituhumiwa kutofanya vizuri katika kudhibiti usalama wa wanahabari wanapotekeleza majukumu yao, serikali nayo imesema vyombo vya habari vinaminya maslahi ya wanahabari kiasi…