Category: Kurasa za Ndani
Platinum Credit yawaliza Watanzania
DAR ES SALAAM NA CLEMENT MAGEMBE Wafanyakazi wa Kampuni ya Mikopo ya Platinum Credit Ltd Tanzania wamelalamikia kitendo cha kampuni hiyo kuwatoza wateja wake riba kubwa na kushinikiza taasisi za umma kuingia katika mikataba ya mikopo kwa rushwa. Wafanyakazi hao…
Tusi gani la kututoa usingizini?
Desemba 6, mwaka jana Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, alitangaza uamuzi wa Serikali wa kuundwa chombo maalumu ili kusimamia eneo la kilometa za mraba 1,500 katika Pori Tengefu la Loliondo. Akasema: “Baada ya kupitia mifumo mbalimbali, timu ya wataalam ilipendekeza kuwa…
Bandari ya Kyela yang’arisha Nyanda za Juu Kusini
Na Mwandishi Maalum Katika makala ya wiki iliyopita tuliwaelezea umuhimu wa Bandari ya Kigoma katika kukuza maendeleo ya uchumi wa taifa letu ambalo lipo katika mapinduzi ya kuifanya Tanzania kuwa nchi inayotegemea uchumi wa viwanda. Katika makala hii tutawaelezea…
Ufisadi kwenye Miradi ya Maji
DODOMA. EDITHA MAJURA. Ufisadi kwenye Miradi ya Maji Madai ya baadhi ya watendaji wasiyo waadilifu kushirikiana na wakandarasi, kuiba fedha zinazoidhinishwa na Bunge na kutolewa na serikali kwa ajili ya kujenga miradi ya maji, ni miongoni mwa hoja zilizounganisha wabunge…
Fally Ipupa anatamba kwa muziki wa Kongo
NA MOSHY KIYUNGI Tabora Sifa za mwanamuziki Fally Ipupa zimeenea kila pembe kuliko na wapenzi wa muziki wa dansi. Yeye pamoja na mwenzake, Ferre Golla; wanatajwa kuelekea kuchukua nafasi za wanamuziki wakubwa waliomtangulia. Hawa ni wanamziki vijana wanaotamba katika anga…
Mnunuzi wa ardhi yako ameshindwa kumaliza malipo?
NA BASHIR YAKUB Umemuuzia mtu kiwanja au nyumba. Mmeandika mkataba na kuusaini tena mbele ya mwanasheria. Kwenye mkataba mmeweka vipengele vingi lakini kimojawapo kinahusu umaliziaji wa pesa ya manunuzi. Hii ni kwa sababu mnunuzi amelipa kiasi kidogo na kiasi kingine…