Category: Kurasa za Ndani
Waziri Mpina ziba masikio
Mjadala uliohusu vita dhidi ya uvuvi haramu ulitawala sehemu kubwa ya bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi, bungeni jijini Dodoma, wiki iliyopita. Pengine kabla ya kuendelea, ni vizuri tukafahamu kazi za mbunge. Mbunge ana kazi nyingi, lakini zilizo kuu…
Uongozi siyo kazi ya rais peke yake
Juma lililopita Rais John Magufuli alifanya ziara ya kushtukiza katika Bandari ya Dar es Salaam iliyoibua masuala kadhaa. Madhumuni ya ziara yalikuwa kuhakiki iwapo mafuta yaliyohifadhiwa kwenye matangi hapo bandarini yalikuwa ghafi au la, ili kubaini ushuru sahihi wa kulipia…
Ndugu Rais tumwache Akwilina apumzike kwa amani
Ndugu Rais, umebarikiwa wewe kwa sababu unatambua uwepo wa ukweli. Wakati wengine wakisema ukweli unauma, wewe umeihubiri kweli bila kuchoka. Mwenyezi Mungu akuimarishe ili uiishi hiyo kweli. Kweli ni dhahiri yaani bila uongo. Yako mengi yaliyosemwa juu ya kweli. Kamusi…
Bandari ya Mwanza kiunganishi Maziwa Makuu
Na Mwandishi Maalum Baada ya kuona jinsi Bandari ya Kyela inavyoing’arisha kiuchumi na kijamii Kanda ya Juu Kusini na nchi jirani za Malawi, Msumbiji na Zambia wiki iliyopita, katika makala haya tutaona jinsi Bandari ya Mwanza ilivyo kiungo muhimu…
Jaji Warioba matatani
*Mtendaji TBA aagiza afukuzwe alikopanga *Yono wakabidhiwa kazi ya kumwondoa *Amri ya Mahakama inayomlinda yapuuzwa *Yeye asema hadaiwi, polisi wasita kumwondoa NA MANYERERE JACKTON Waziri Mkuu na Makamu wa Rais (mstaafu), Jaji Joseph Warioba, anafukuzwa kwenye…
Platinum Credit
Vita ya mafuta Yahusisha wafanyabiashara vigogo Kamati ya Bunge sasa ‘yagawanyika’ Wajumbe baadhi waomba waondoke NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM Mpasuko umejitokeza ndani ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira; sababu kuu ikitajwa kuwa…