Category: Kurasa za Ndani
Mafanikio yoyote yana sababu (24)
Padre Dk Faustin Kamugisha Kuwajali wateja ni sababu ya mafanikio. Mteja ni kama damu muhimu kwa uhai wa biashara yako au shughuli yako. Kanuni ya msingi kwa yeyote anayehudumia mteja ni mteja kwanza. Mteja ni mfalme. Inaweza kukuchukua miezi kumpata…
Mapya yabainika St. Florence
*Imejengwa na kuziba barabara ya mtaa *Mmiliki, wanafunzi waishi eneo moja NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM Shule ya St. Florence Academy iliyopo Mikocheni, Dar es Salaam, ambayo mwalimu wake anatuhumiwa kuwadhalilisha kingono wanafunzi wa kike wanne, inadaiwa…
Bandari ni salama njoo tukuhudumie
Na Mwandishi Maalum Makala ya mwisho katika mfufulizo wa makala za Bandari tuliona jinsi Bandari ya Mwanza ilivyo kiungo muhimu kwa uchumi na biashara katika mikoa ya Kanda ya Ziwa, nchi za Afrika Mashariki na maeneo mengine. Leo katika makala…
Balozi: Tanzania inapoteza mabilioni
Na Angela Kiwia Balozi John Chagama amesema Tanzania inapoteza mabilioni ya shilingi kutokana na viongozi wachache wenye uchu wa utajiri kuatamia fursa ya soko la mtandaoni. Mwaka 2012, Balozi Chagama na wenzake, walianzisha Kampuni ya Tanzania Commodity Exchange (TCX) iliyopaswa…
Somo la Mazingira ni Gumu Sana
Ningekuwa mbunifu mahiri wa kuandika hadithi, ningeandika hadithi ya vyura wa Kihansi kushangaa ni kwa kiasi gani binadamu wajinga mpaka kuwasafirisha vyura wenzao kwenda kuishi Marekani kwa muda. Mradi wa kuzalisha umeme wa Kihansi ulipoanza, mwaka 2000, ulipunguza kiwango cha…
Afrika iligomea kombe la dunia Moscow, Urusi
Safari ya Afrika katika kushiriki michuano ya kombe la dunia imekuwa ya milima na mabonde, lakini sasa Afrika inaelekea kuvunja ilichopanda kwa dalili zilizopo. Mwaka 1966 katika fainali za kombe la dunia zilizofanyikia nchini Uingereza na wenyeji kuwa mabingwa, Bara…