Category: Mtazamo
Majibizano Hayasaidii Ujenzi wa Demokrasia
Katika siku za karibuni kumekuwapo na malumbano kati ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Malumbano hayo yalitokana na kada wa Chadema, David Djumbe, aliyepitishwa na NEC kuwania kiti hicho, kuwasilisha barua ya kujitoa…