Category: Mtazamo
Kamati ya Bunge itimize wajibu
Wiki hii Bunge la 11 linakutana jijini Dodoma kwa ajili ya kuendelea na vikao vyake kama ilivyo ada. Pamoja na changamoto za hapa na pale katika maisha ya Mtanzania, naamini bado Watanzania wanayo imani na Bunge hili. Kamati ya Kudumu…
Dk. Bashiru utachukiwa
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally, ametoa kauli ya kijasiri kuhusu ushindi wa chama hicho, akitoa mfano wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010 ambao ni asilimia 42 pekee ya waliojiandikisha kupiga kura ndio waliojitokeza. Nampongeza kwa…
Hongera Serikali kuzibana NGOs
NA ANGELA KIWIA Serikali imetoa maagizo kwa mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) na kuyataka kuyatekeleza ndani ya mwezi mmoja. Napenda kuipongeza serikali kwa hatua hii muhimu. Natambua wapo baadhi ya ndugu zetu hawatafurahia hatua hii ya serikali kuzibana NGOs, kwa…
NDUGU RAIS TULITOKA KWA UDONGO TUTARUDI KWA UDONGO
Ndugu Rais, kati yetu sisi wote hakuna atakayekufa halafu jeneza lake lihifadhiwe darini au juu ya mti kama mzinga wa nyuki. Bila kujali litakuwa na thamani ya kiasi gani, lakini jeneza litafukiwa chini, udongoni! Na hapo ndipo patakuwa utimilifu wa…
SERA YA ELIMU BURE INAHITAJI UMAKINI
NA ALEX KAZENGA Kitendo cha Rais John Magufuli kuagiza kuchukuliwa hatua kwa watendaji na viongozi katika maeneo ambayo shule za msingi na sekondari bado zinaendeleza tabia ya kutoza michango kwa wazazi, hata baada ya Serikali kutangaza kutoa elimu bila malipo,…
Majibizano Hayasaidii Ujenzi wa Demokrasia
Katika siku za karibuni kumekuwapo na malumbano kati ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Malumbano hayo yalitokana na kada wa Chadema, David Djumbe, aliyepitishwa na NEC kuwania kiti hicho, kuwasilisha barua ya kujitoa…